Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Sio mbeya na miji karibia yote kuanzia mwezi wa saba mpaka wa kumi ni vumbi la kwenda mbeleMbeya na dodoma mjini kuna vumbi sana
Kwa sasa ni msimu wa jua yaani Kiangazi sasa unashangaa vumbi?Kuanzia mwezi huu wa saba mpaka wa kumi kila kona ya nchi yetu ukienda maeneo ya mjini ni vumbi kwa kwenda mbele sitaki kuongelea vijijini sababu huko ndo habari ñyingine
Kuna mda najiuliza kwenye miji yetu tumeshindwa kuweka paving na lami kwenye kila barabara ili kupunguza hii adhi ya vumbi na ni kero sana kwa watu ambao hawana magari
Mji wa Florence walipiga mji mzima paving mwaka 1339 sisi kama nchi tunashindwa nini- mimi naamini tukiweka nia inawezekana kupiga paving na lami maeneo yote ya mjini
Nikiwa rais wa Tanzania baada ya kupima na kuwa na masterplan mpya hatua itakayofuata ni kuhakikisha kwenye miji ya tanzania kunakua hakuna vumbi naamini baada ya miaka 10 mpaka 20 tutakua tumefanikiwa kutokomeza vumbi kwenye maeneo ya mijini..
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Kuna nchi ni nadra sana kuona vumbi sababu sehemu kubwa ya miji yao ina paving na lamiKwa sasa ni msimu wa jua yaani Kiangazi sasa unashangaa vumbi?
Arusha tunapambana na vumbi powder ni kero kubwa sanaHata sisi Tanzania tunaweza piga paving na lami sehemu kubwa sana ya mji
Sasa hivi ni Kiangazi? Kweli?Kwa sasa ni msimu wa jua yaani Kiangazi sasa unashangaa vumbi?
Kuna nchi mpaka hata ifike kiangazi ni nadra sana kukutana na vumbi kama la MIJI ya Tanzania sababu asilimia kubwa wamepiga pavingSasa hivi ni Kiangazi? Kweli?
Makonda mbona ameshindwa kuondoa vumbi Arushamkuu wakat wewe unaota. ingia mtandaon andika fasomebo uone Traore ibrahim anafanya .ndio mana nikasema haiwezekan ma dc wakaja na plan mfano mdogo tu pavements. tena wnamach wanachangia labour. makonda ndio anaeeza amsha amsha.
Ni mipango ambayo watu waliipigajia huku kwetu mipango inaandaliwa alafu hakuna ambaye anaipiganiaHivi ilikuwaje nchi zilizoendelea zinafikia maendeleo haraka namna hiyo, je na wao walisota kwenye vumbi kama sisi?
Vumbi ni changamoto sanaMkuu hapo umeongea pointi