jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Kule Mbowe kasema vile huko fulani kadai kile ajabu hata wasio na hadhi japo ya kutamka jambo fulani na wao eti leo ni wasemaji!
Hayo mambo ya kijinga tulishayasahau kabisa na Watanzania tulishaamua kufanya yale tu yahusuyo maendeleo chini ya jemedari mwamba Hayati Magufuli.
Samia asipokuwa makini hakika hatotimiza lolote lihusulo maendeleo na hapo ndipo legacy ya JPM kwa Watanzania itapodhihiri.