jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Magu alikuwa kichaa. na upuuzi wake kaharibu uchum , imepelekea tozo kila mahali,Kule Mbowe kasema vile huko fulani kadai kile ajabu hata wasio na hadhi japo ya kutamka jambo fulani na wao eti leo ni wasemaji!
Hayo mambo ya kijinga tulishayasahau kabisa na Watanzania tulishaamua kufanya yale tu yahusuyo maendeleo chini ya jemedari mwamba Hayati Magufuli.
Samia asipokuwa makini hakika hatotimiza lolote lihusulo maendeleo na hapo ndipo legacy ya JPM kwa Watanzania itapodhihiri.
huu ni uzi au coment?Kule Mbowe kasema vile huko fulani kadai kile ajabu hata wasio na hadhi japo ya kutamka jambo fulani na wao eti leo ni wasemaji!
Hayo mambo ya kijinga tulishayasahau kabisa na Watanzania tulishaamua kufanya yale tu yahusuyo maendeleo chini ya jemedari mwamba Hayati Magufuli.
Samia asipokuwa makini hakika hatotimiza lolote lihusulo maendeleo na hapo ndipo legacy ya JPM kwa Watanzania itapodhihiri.
Mama anaupiga mwingi sanaMagu alikuwa kichaa. na upuuzi wake kaharibu uchum , imepelekea tozo kila mahali,
Sukuma gang bado unalilia legacy!!! Jiwe alikuwa muuaji kwahiyo hasafishiki kabisa.hapo ndipo legacy ya JPM kwa Watanzania itapodhihiri.
Wengi hawalijui hili ni Magufuli ndio anamfelisha Samia na Ccm kwa ujumlaMagu alikuwa kichaa. na upuuzi wake kaharibu uchum , imepelekea tozo kila mahali,