Sasa hivi kuna suruali za Jeans za kike hazina mifuko lakini wanavaa wanaume wengi wa Dar es Salaam..

Wanaume wa mkoa mtaacha ushamba lini?

Huna uthibitisho kaa kimya
 
Weka picha ya mwanaume wa dar aliyevaa hiyo suruali tuone
 
Ndo mambo ya wanaume wa Dar, sasa sijui pochi la pesa wanaweka wapi!
 
Ukipigwa usikimbilie polisi maana umeyataka mwenyewe.
 
ukiona wa hivyo ujuwe wametoka mkoani.. .wakavamia jiji kwa pupa .... yaana..swaga za town wahazujui wana bahatisha tu!
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…