Wabongo bana.
Mtu akienda Uingereza naenda kwa bibi. Mtu akiishi uingereza Niko hapa Kwa bibi. Akisoma Uingereza kama Mudawote nilisomea kwa bibi.
Sasa hivi siyo kwa bibi tena ni kwa babu. Na msemo huo utakaa muda mrefu Tena miaka mingi tu kwasababu haya mijamaa hayafi kizembe hadi yavuke mid nineties.
Sasa hivi Charles ana 73 piga tu mahesabu atakuwa mfalme miaka 30.
Akifa King Charles (2052) Prince William atachukua wakati huo ana 70 Bado kwa babu tu litatamkwa. Sasa hapo william atakuwa mfalme miaka mingine 30 Hadi 2082. Akifa William kijana wake George atakuwa na miaka 68 atakuwa mfalme miaka mengine 38 2120.
Kwa hiyo Uingereza itakuwa kwa babu midomoni mwa wanatumbikwa miaka 100 ijayo na labda kuendelea kama George tu asiwe na firstborn mabinti.
Yani sasa hivi tukae tu mwendo wa kuzoea habari za malkia na uingereza kwenye vyombo vya habari kwa muda wa mwezi. Na siku ile uingereza ikishinda kombe la dunia tutakoma.