Revola
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 1,516
- 1,338
Wakuu watanzania wengi pamoja na unafiki wao wakuiponda yanga bila facts, kwa sasa Yanga imewafunga midomo na watu wengi wakifikilia kuiandikia upupu wakikumbuka walijalibu kuiansikia upupu kipindi kilichopita na maneno Kama "yanga kuifunga Belozdad ni sawa nakuvaa boxer nakuvuka maji bila pumbu moja kulowa". Yameandikwa mengi mabaya mwaka Jana kuhusu yanga, lakini yanga hii ya sasa iliwaaibisha vibaya Sana hadi wengine waliokuwa wakiiponda hapa kurudia nyuzi zao nakuziedit zikabaki na vichwa vya habari pekee. Hii ndio yanga MPYA ISIYOTABILIKA KIRAHISI. nadhani kwa sasa vinyuzi vingi hapa vimebakia vya simba na habari ya Mo kuiuza hahah. Tukutane baadae kwenye mechi ya Alhly vs Yanga.