Kwa kumtuma huyo Bashite eti sijui akafanye nini huko Misri kwenye mashindano ya AFCON ndo karoga timu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, huyo Bashite ndiye anayeenda kuitia timu uvivu mwili mzima na kale kanguvu ka kupambana na Kenya kataisha. Jiwe ni scintist phylosopher anashindwa kuelewa kwaamba Bashite hawezi kuwa mhamasishaji wa suala lolote ? zaidi ya kuwa ni boredom creater? Wenye vyeti feki wenzie wamefukuzwa kazi yeye kabaki haoni kuwa ni kisababishi kikubwa cha hisia za chuki za jambo loloteambalo atalibebea kibendela?
Jamani mbona mambo mengine ni raahisi mno kuyadadavua? Kama hili la Bashite
Jamani mbona mambo mengine ni raahisi mno kuyadadavua? Kama hili la Bashite