Sasa kaka, mtanipeleka wapi au ndio basi tena?

Sasa kaka, mtanipeleka wapi au ndio basi tena?

Mlolongo

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
3,483
Reaction score
6,257
Muhusika: Mdogo wangu kamaliza form four
Issue: Kwa matokeo yake alopata, what next? Kaniuliza kama kaka yake.

Matokeo yake yakoje: Haya hapa:
Civics C ... History D... Geography D ... Kiswahili B ... English C ... Lit. Eng C ... Chemia D ... Biology D ... Mathematics F.

Nimesikia ili uendelee form five unatakiwa kuwa na walau C masomo matatu (naona katimiza hapo)

Hivi anaweza kuchaguliwa kweli form five kwa score hizo? Anaweza kwenda combination gani, maana anasema alikua darasa la sayansi.

Hivi tukisema tumpeleke vyuo vya certificate ana qualify kusomea nini hapo, au chochote?
Screenshot_20220116-170210_1.jpg
 
Anawezaa kusoka kama PC kwa maana hana comb iliyobalance.

Kama uko Arusha nikueleze center One year mwakani anachapa paper na kuzama Degree mazima mwakani
 
Huyo tayari amesha pangiwa uuguzi ngazi ya cheti.Kupata D chemia na Bios ni kichwa huyo.mpeleke uuguzi aje atusaidie.sema kama ni mvulana itamsumbua sana.wengi wa waauguzi ni wanawake.ijapo wanaume pia wapo
 
Mpeleke dogo veta chap akapate maarifa aje apige pesa, pc ni upotezaji muda na atafeli zaidi,
 
Km bahati iko kwake 2nd selection anapata ila comb n HKL.
ila hapo Diploma ndo uhakika lazima apate Post.
 
Huyo tayari amesha pangiwa uuguzi ngazi ya cheti.Kupata D chemia na Bios ni kichwa huyo.mpeleke uuguzi aje atusaidie.sema kama ni mvulana itamsumbua sana.wengi wa waauguzi ni wanawake.ijapo wanaume pia wapo
Physics wapi?
 
Mpeleken chuo Cha afya! Advance ataharibu zaidi... Tena asome nursing au medical lab
 
Anaweza kusoma pharmacy kuanzia certificate

Nursing,lab Clinical medicine, dental

Lazima uwe na physics
 
Back
Top Bottom