Pre GE2025 Sasa kumekucha. No reforms No election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa tume hii tayari ccm Ina ushindi kibindoni tayari zaidi ya 50%
 
Ila JESHI LA WANANCHI nalo liingilie kati tupate katiba mpya aisee
Hapo sasa ndio Huwa tunasahau kumwombea CDF!
Yeye ndie ameshikilia Amani hii tuliyonayo...ukiona Yuko kimya ujue bado hajaona utayari wa ' Kikundi' kingine cha Wana siasa zaidi ya hawa wa sasa...
Hoja zote za maana kuhusu mapungufu ya Katiba ziwekwe wazi maana Katiba si mali ya chama chochote..ni mali ya Nchi.
 
Ndivyo mnavyojidanganya?.
 
We subiri.
CCM chama kikubwa sana hakiwezi kutishwa na hizi harakati za kwenye mitandao ya mawasiliano.

Tembelea mikoani uone namna Tanzania inavyofanya kazi kubwa kuingia katika uchumi wa kati hatua ya juu, ukiishia kusoma habari negative hata akili yako itashindwa kukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…