Hatuna Jeshi la polisi, kile ni kikundi cha maharamia ya CCM
Kikundi cha wahuniHatuna Jeshi la polisi, kile ni kikundi cha maharamia ya CCM
Sio hivyo Ila hatuna security agency yoyote mpaka sasa.Hatuna Jeshi la polisi, kile ni kikundi cha maharamia ya CCM
Nchi inaongozwa na wapumbavuSijui kama ni makusudi, bah at I mbaya aunt kwasababu ya kelele za mitandaoni?View attachment 3514689
Updates
Ameandika Askofu mwamakula
JE, NANI ANAMSHIKILIA MHE. MWAMBE?
Taarifa zinaenea mitandaoni kuwa aliyekuwa Waziri, Godfrey Mwambe alitekwa na kupigwa sana na Polisi na kuwa anashikiliwa kinyume cha sheria huko Kigamboni, Dar es Salaam.
Zipo njia mbili tu za kuuondoa au kuuthibitisha uvumi huu.
1. Njia ya kwanza ni ya Jeshi la Polisi kutoka hadharani kueleza ukweli juu ya Mhe Mwambe. Polisi waeleze ukweli kama wanamshikilia ni kwa kosa lipi na pia ni kwa nini hawajampeleka mahakamani muda wote huo. Pia, kama Jeshi la haliko naye pia lieleze kuwa haliko naye.
2. Njia ya pili ni ya yeye Mhe. Godfrey Mwambe kutoka hadharani kueleza kuwa yeye yuko huru na kuwa hajakamatwa na kuwa hajashikikiliwa na mtu, jeshi au kikundi chochote kile.
3. Njia ya tatu ni ya familia ya Godfrey Mwambe kutoka hadharani kueleza wapi aliko ndugu yao kama yeye mwenyewe hawezi kutoka au labda anaumwa na hawezi kuongea.
Vinginevyo, minong'ono iliyotanda kumhusu Mhe. Mwambe haiwezi kukaliwa kimya na hasa ikizingatiwa nafasi yake na pia maudhui ya hiyo minong'ono. Ukimya wa kutoka kwa pande zote hizo tulizozitaja utaonyesha na pia kuthibitisha uvumi ya kuwa Mwambe anashikiliwa kinyume cha sheria.
Sisi askofu tunatoa muda wa masaa 24 kutoka leo tarehe 10 Desemba 2025 na muda huu saa 8:50 alasiri kwa ajili ya upande mmojawapo ili kutoka hadharani kutoa kauli. Vinginevyo kama itafika kesho tarehe 11 Desemba 2025, muda kama huu huu tutaanzisha msako na kampeni ya #FreeMwambe#!
Kwa sababu hiyo, kwa sababu minong'ono hiyo inahusu masuala ya haki ya msingi, tunaiomba Tanganyika Law Society (TLS) ifauatilie pia kwa niaba ya Watanzania wapi alipo Mhe. Godfrey Mwambe ili kama anahitaji kupatiwa msaada wa kisheria asaidiwe.
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 10 Desemba 2025; Saa 8:50 alasiri
Freeee mwambe
Freee mwambe
Maskini utu kwanza mengine badae, Mungu akampe wepesi na watesi wake wafe akishudia katika ukuu wa Mungu ,alie kuwa waziri kama kweli anafanyiwa hivi , wewe kapuku mwenzangu tuna lipi sasa, nimeumia sanaSijui kama ni makusudi, bah at I mbaya aunt kwasababu ya kelele za mitandaoni?View attachment 3514689