Wajumbe wa BMK walipatikana kwa njia halali kwani BMK lilikusanya watu kutoka matabaka yote wakiwemo wajumbe waliochaguliwa na wananchi, wa viti maalum, pamoja wajumbe walioteuliwa na rais, hivyo katika bmk lilikuwa na makundi matatu ambayo ni wabunge wa kuteuliwa, wabunge wa majimbo maalum pamoja na wabunge wa kutoka katika asasi mbalimbali za kiraia kama vile wavuvi, waaandishi wa habari, wafugaji n.k hivyo hawa watu 640 wananchi ndo waliowaamini kwani wao ndo wawakilishi wao na ndo ilikuwa kazi yao ya kutunga katiba, lakini dhana ya kusema kuwa mambo fulani yametolewa kwenye rasimu ya warioba hilo sio kweli kabisaaa kwani warioba hakutunga katiba, yeye aliandika mapendekezo tu, chombo chenye mamlaka kisheria ya kutunga katiba lilikuwa ni bunge maalum la katiba tuu na si vinginevyo kwani watu wengi wamekuwa wakichanganya mammbo hapa eti katiba ya warioba, hahahahaha na hivyo bmk kupitia Sheria ya tangazo la serikali NA. GN. 254 ilipewa mamlaka kwa bunge hilo kuendelea na shughuli zake na pia kifungu cha 25 cha Sheria ya katiba, bmk lilikuwa sahihi kufanya marekebisho yoyote pale palipohitjika. Nadhani nimekujibu swali lako vema.