Sasa lipo wazi, hadi June coronavirus itakuwa haijaisha Ulaya, ligi zote zinafutwa, sio kuahirishwa tena

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Hili lipo wazi, sasa kwa mwenendo wa corona unavyoendelea Ulaya ni kuwa Corona haitaisha kama walivyoichukulia poa, hii ngoma itakuwa haijaisha hadi mwezi wa 6, possibly pia hadi mwakani, hii ni kutokana na wananchi na Serikali za ulaya kutokuwa serious kama china kwenye kupigana na huu Ugonjwa

Sasa Rais wa UEFA kasema wanafikiria kufuta ligi zote maana hadi mwei wa 6 kuna uwezekano mkubwa hawataweza kuendelea tena.

=======

The confederation chief has admitted that campaigns could be scrubbed, but that he hopes clubs will be able to finish one way or another

UEFA president Aleksander Ceferin has admitted that the current football season could be ruled void if leagues are unable to resume in some fashion by the end of June.

Virtually all major domestic competitions across Europe are currently suspended amid the Covid-19 coronavirus pandemic, as the globe continues to battle against the growing crisis.

This year's Euro 2020 tournament has already been postponed for a year in order to help facilitate the completion of current campaigns, but even that possibility remains up in the air as time passes.

Teams by and large have professed a desire to see the season completed in order to help preserve integrity, but now Ceferin has acknowledged that the organisation may be forced to scrub results across the board in these extraordinary circumstances if a restart of the game cannot meet an early summer deadline.

Such a decision would likely incense Liverpool and Paris Saint-Germain among others, with both clubs holding likely unassailable leads in the Premier League and Ligue 1 title races respectively.

"If we don't succeed in restarting, the season will probably be lost," Ceferin told Italian newspaper La Repubblica.

"There is a plan A, B and C. The three options are to start again in mid-May, in June or at the end of June.

"There is also the possibility of starting again at the beginning of the next [season], starting the following one later. We will see the best solution for leagues and clubs."

The Slovenian acknowledged that while he would prefer not to play games behind closed doors without supporters, it may prove the way forward as the game looks to figure out its next steps forward.

"It's hard for me to imagine all the matches behind closed doors, but we still don't know whether we'll resume, with or without spectators," he said.

"If there was no alternative, it would be better to finish the championships."

UEFA are likely to face the difficult task of facilitating a continent-wide restart that also includes the remaining rounds of both the Champions League and Europa League, as teams hope to confirm their places in European competition for the subsequent 2020-21 campaign.


Source: Goal.com
 
sheria ya FA inasema kwamba team kama ikicheza 75% ya mechi zake zote na ikawa inaongoza ligi basi wanakabidhiwa kombe endapo ligi ikishindwa kumalizika....kwahyo liverpool ndio bingwa wa EPL 2019/2020..
 
sheria ya FA inasema kwamba team kama ikicheza 75% ya mechi zake zote na ikawa inaongoza ligi basi wanakabidhiwa kombe endapo ligi ikishindwa kumalizika....kwahyo liverpool ndio bingwa wa EPL 2019/2020..
Wewe ndo umenena.. kama ingekuwa ni hvy basi wangekuwa wanashangilia kwamba kombe ni lao ila ishu ni kwamba hakujawahi kutokea ishu kama hii adi ligi iahirishe ndio maana hadi sasa FA hawajui watoe maamuzi gani.

Ila tusubiri mana hakuna anaejua, Hata FA hawajui
 
wapewe ubingwa wao wameupigania hata kama ligi ikisitishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…