utakuta hio picha imepigwa club afu mnakuja kulalamika,walaumu hao waandishi wa habari wanaoingia sehemu kama hizo na kupiga picha...mlitegemea wavaaje na night club for heaven sake?
Hahahhaha mpaka leggings tusivae???Uwiiiiii ngona nikachome zangu!!...hakuna cha Club wala nini, hujaona hadharani wamevaa hizo low cuts? na leggings?
au nikuwekee ushahidi mwingine?
Hahahhaha mpaka leggings tusivae???Uwiiiiii ngona nikachome zangu!!
Ila ukweli ni kwamba huwezi kujudge kipande kimoja tu cha nguo....angalia kwanza mtu alivyopangilia ndo useme haifai maana mimi hua nazivaa sana ila hazionyeshe mpaka
visivyotakiwa maana kinachokuwepo juu ndo kinakamilisha au kinaharibu....ningeweza ningeweka picha tofauti hapa ili tuongee vizuri!!!
mimi naona wavae ili tofauti ya kuwa kwenye jiji na kijiji ionekane..
mbu nakushauri uhamie tandahimba hivi au ikwiriri hutaona hizo...
wacha jiji liwe jiji bana lol
...Okey, ...kwahiyo huu ndio uvaaji wa kimjini? Gademu!
Hata hawapendezi! Sooo repulsive!
Mbu ukweli ni kwamba wapo wanaopendeza... kila fashion ya wadada itokayo ina watu wake.. kuna zile inatakwa mtu mwembamba au mnene, zile za kuonesha au kuficha viungo fulani... Issue inakua kua mdada anavaa kitu ambacho kweli kiko katika fashion but yeye akivaa mnao muona wooote mnataka kujificha...
...Okey, ...kwahiyo huu ndio uvaaji wa kimjini? Gademu!
Hata hawapendezi! Sooo repulsive!
...that's what I mean, majority hawapendezi!.....aaaarrrghhhhhhh!!!.....
Mbu, nasupport alichosema The Boss...
Kwenye swala la mavazi - acha miji iwe miji na vijiji viwe vijiji.
Ila kwa hiyo picha ya kwanza, sijui kama ni quality ya picha tu au ni tatizo la ngozi... either way, mwonekano wa huyo mdada kwenye picha kama hapo juu haupendezi. Nguo fupi au ndefu, uhuru ni wake!!!
Swala hili ni gumu mno! Mkuu Mbu. Kuna wadada wengine hawaelewi kabisa kwamba miili yao hainendani na baadhi ya nguo wanataka kutinga tu katika nguo za aina hiyo hata kama watakuwa wanatembea robo tatu uchi, kwa wengine huwa ni matangazo ya biashara na kwa wengine hudhani kwamba wamependeza kumbe wanaonekana kituko tu.