Sasa mnaudhi na kukera!

mimi kinachonishangaza na fasheni za wanawake ni kuwa
kinguo kama hiko utasema ki pajama cha kulalia...
kumbe kwao ndio bonge la fasheni na mtu anachukua masaa kdhaa kwenye kioo lol na hapendezi still
kazi kuwa mwanamke....

lol.....lol.....lol....lol....
 
The problem is even bigger when you are blessed with a semi-permanent diverged junior!! lol
 
Hahahah embu tuacheni jamani....alafu sio kila mwenye kioo anajiona!!Wengine nadhani hua wanaona kitu tofauti kabisaaaa na kile wanachoona watu wa nje!!!

ha ha ha Partner umenifurahisha kweli kweli..... hao ndo hutufanya wenzao tuone aibu unapokua karibu nae....lol
 
Hahahah embu tuacheni jamani....alafu sio kila mwenye kioo anajiona!!Wengine nadhani hua wanaona kitu tofauti kabisaaaa na kile wanachoona watu wa nje!!!

lizzy umeongea kitu kikubwa mno hapo
watu wa tanga wanaaamini kuwa vioo vinafuga mashetani na ndo maana
huwa wanavifunika baada ya kuvitumia...
so sometimes hayo mashetani yanaaminika huwa na tabia
ya kumcheza mtu shere,yaani yanamfanya anaetumia hicho kioo
kujiona amependeza saana,kumbe anatisha....lol
 
Reactions: BAK
The problem is even bigger if you are blessed with a semi-permanent diverged junior!! lol

lol....lol...lol... Huu uzi utaniua mbavu.... And the way you guys sometime mnashindwa control.. mbele ya umati unashangaa mmmh mbona... Then unaanza kuangalia mazingira... kakaa na nani karibu, kaguswa na nani, anamtazama nani.... etc
 
Hahahahah lol! nilikuwa sijawahi kuisikia hii BOSS! Duh!
 
lol....lol...lol... Huu uzi utaniua mbavu.... And the way you guys sometime mnashindwa control.. mbele ya umati unashangaa mmmh mbona... Then unaanza kuangalia mazingira... kakaa na nani karibu, kaguswa na nani, anamtazama nani.... etc

Siyo kila kitu Asha kinaweza kinaweza kuwa control kirahisi namna hiyo...nanihii akili zake anazijua mwenyewe na hakuna yeyote yule anayeweza kumcontrol akiamua kufanya visa vyake mtu unabaki kujibaraguza baraguza tu hahahahah lol!
 
halafu wadada dizaini hizo
wanapenda favour sana..
ukiwadharau wanajisikia vibaya sana.
 
lol....lol...lol... Huu uzi utaniua mbavu.... And the way you guys sometime mnashindwa control.. mbele ya umati unashangaa mmmh mbona... Then unaanza kuangalia mazingira... kakaa na nani karibu, kaguswa na nani, anamtazama nani.... etc

If you work in an office endowed with beauties of sort, then a file folder has to be handy at all times... you oughtta criss-cross them corridors while carrying one!!
 
Reactions: Mbu
Siyo kila kitu Asha kinaweza kinaweza kuwa control kirahisi namna hiyo...nanihii akili zake anazijua mwenyewe na hakuna yeyote yule anayeweza kumcontrol akiamua kufanya visa vyake mtu unabaki kujibaraguza baraguza tu hahahahah lol!

Words can not suffice....
 
Reactions: BAK
If you work in an office endowed with beauties of sort, then a file folder has to be handy at all times... you oughtta criss-cross them corridors while carrying one!!

Steve Dii..... a file eeeh.... mmmh Very creative....
 
Oooh yeah, au kuchomoa shati kama ulikuwa umechomekea.

A very creative guy... napata picha kua .... naona nikimbie tu mana huu uzi will be the end of me nisipoangalia.....
 
Reactions: BAK
A very creative guy... napata picha kua .... naona nikimbie tu mana huu uzi will be the end of me nisipoangalia.....

..usiogope mwaya, we're just a bunch of 'associates' from the marketing department!! 😉

..ooh yeah, it does work!
 
Oooh yeah, au kuchomoa shati kama ulikuwa umechomekea.

Hapo ni rahisi sana kushtukiwa hasa kama mhusika ni mchomekeaji shati wa kila siku iendayo kwa Mungu.
 
Hilo unalosema ni kweli kabisa BAK... lakini wee hebu angalia tu tshirt yangu kwenye avatar!! Nilishajishtukia mapemaaaa... lol

Hahahahahahaha lol! Kumbe eeh! hahahahaha 🙂

YouTube - Chris Brown - She Ain't You

She a-ain't, she ain't you, no
She a-ain't, she ain't you, no
She a-ain't, she ain't you

Verse:
You make it hard for me
to see somebody else
I'm calling her your name
and yeah its messed up
'Cause im thinkin 'bout you
It's your fault, babe
I never wanted us to break up
No, not this way
But you don't understand it girl
When she touches me
I'm wishing that they were your hands
and when I'm with her its only 'bout the sex
With you I had a bad romance
and if I could
just trade her in i would
cause nobody compares to you nooo...yeah

Chorus:
I think I better let her go
I can't leave you alone
Every day that I'm with her, all I want is you
I wanna leave, but I'm afraid
That you don't even feel the same
And now I realize that she ain't you
Oh (no she ain't you)
Whoa oh oh (Na na na)
Whoa oh oh (Na na na)
She ain't, no she ain't you

[ From: http://www.metrolyrics.com/she-aint-you-lyrics-chris-brown.html ]

Verse:
I been sleeping out
For quite some nights now
It's not the same in my bed
But if she found out, whats going on in my head
It'll be all bad, have me right back
But you don't understand it, girl
When she touches me, I'm wishing that they were your hands
And when I'm with her it's only bout the sex
With you I had a bad romance
And if I could, just trade her in I would
Cause nobody compares to ya

Chorus:
I think I better let her go
I can't leave you alone
Every day that I'm with her, all I want is you
I wanna leave, but I'm afraid
That you don't even feel the same
And now I realize that she ain't you
No she a-ain't, she ain't you (x8)

I think I better let her go
I can't leave you alone
Every day that I'm with her, all I want is you
I wanna leave, but I'm afraid
That you don't even feel the same
Now I realize that she ain't you
Oh (no she ain't you)
Whoa oh oh (Na na na)
Whoa oh oh(Na na na)
She ain't, no she ain't you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…