Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
Usiku wa jana nilikuwa na furaha isiyo kifani. Jambo hili limeniumiza kichwa kwa muda mrefu hatimaye kwa kudra za Mwenyezi Mungu, usiku wa jana nimeweza kulisolve.
Sasa wanufaika wote wa mradi huu kaeni mkao wa kula. Jambo hili nililolibuni likiwekwa kwenye utekelezaji, 90% ya changamoto za mradi huu zitakuwa zimekwisha kabisa.
Hivi sasa naweka vitu vizuri kwenye concept note na michoro kadhaa naifanyia drawings.
Mambo yakikamilika, ntarudi tena hapa jukwaani na kila kitu.
Kwa kweli wadau, msiandike mengi zaidi ya kunipa hongera. It waz not easy.