Sasa naamini hakuna mwanasiasa mzalendo, hakuna! Kelele zote huwa ni za kupigania maslahi ya matumbo yao tu

The Palm Tree

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
7,951
Reaction score
12,541
Watazame na wasikilize wanaoongoza serikali hii yaani CCM, Magufuli na wenzake wanavyojitetea kwa kila aina ya mashambulizi ya mwili na maneno mabaya dhidi ya wanaowaona kama vikwazo kwao yaani kina Tundu Lissu na CHADEMA yake, kina Zitto Z. Kabwe, Maalim Seif Shariff Hamad na ACT Wazalendo yao.

Yaani utadhani ni raia wa nchi zilizo katika sayari tofauti zenye uadui mkubwa. Na hawa kwa kuwa wana machineries za kutesea na kuulia yaani bunduki na risasi, polisi na jeshi, basi huzitumia ipasavyo ili kulinda positions zao na chakula cha MATUMBO YAO.

Tuseme nini sasa?

Ni hivi, asikudanganye mtu, hakuna cha uzalendo wala nini bali ni hadaa za uzalendo uchwara tu ili kuhakikisha maslahi ya matumbo yao hayapotei!

Hebu wasikilize na watazame kina Freeman Mbowe, Tundu Lissu, Halima James Mdee na wenzao wengi huko CHADEMA wanavyowashambulia wenzao huko CCM kwa kejeli na kila aina ya maneno unayoweza kuita matusi.

Watazame na kuwasikiliza na kina Zito Kabwe, Maalim Seif Sharif Hamad na wenzao huko ACT WAZALENDO wanavyowashambulia wenzao walio ktk chungu cha chakula yaani CCM kwa kila aina ya kejeli na neno lolote lile unaloweza kuliita tusi.

Yaani utadhani ni watu wanaoishi nchi zilizo katika sayari tofauti. Wengine Sayari ya Mars wengine sayari ya Dunia.

Tuseme nini sasa?

Ni hivi, asikudanganye mtu hakuna cha uzalendo wala nini. Hakuna anayepigania maslahi ya mtu mwingine awaye yeyote bali yao na matumbo yao mwenyewe.

Wengine ili kuteka nyara mawazo ya sisi wanaotuhadaa kuwa wanatupigania, wametupa majina ya kuutweza utu wetu kama "wanyonge", " walalahoi" nk.

Yote haya ni zana tu ili waaminike na kuficha uhalisia "missions" zao ovu.

Ni bahati mbaya kuwa, na sisi raia wa kawaida tumekubali na kuingia kwenye hadaa hizi na kujikuta tunaunga mkono moja ya pande maslahi hizi yaani WATAWALA na au WANAOTAKA KUZICHUKUA NAFASI ZA UTAWALA a.k.a wapinzani.

Kwa kufanya hivi, tumeifanya mission yao iwe rahisi sana. Na sisi wananchi wa kawaida katika mazingira haya, kamwe hatutakuja kupata tunayoyatamani katika nchi yetu.

Haya ninayoandika yamethibitishwa na Maalim Seif Sharif Hamad wa ACT WAZALENDO kwa kuamua kujiunga wa aliokuwa anawaona maadui zake na sisi wananchi tukaamini hivyo.

Sasa kawatelekeza na kuwaacha wananchi aliowaaminisha kuwa wakati wa kukomesha dhuluma umefika iwe jua ama mvua kwa yeye kujiunga na CCM tulioaminishwa kuwa ndiyo maadui wa ustawi wetu!

Natamani kuanzia leo nisimwamini mwanasiasa yeyote. Na ofcoz ndivyo itakavyokuwa. Na nitatumia njia zingine kabisa kupambania hali na ustawi wangu kijamii na kiuchumi.

Wamebaki kina Freeman Mbowe, Tundu Lissu na CHADEMA yao kwa ujumla. Tusishangae wakajiunga na waliotuaminisha kuwa ni maadui wa ustawi wetu.

Kweli kabisa, binadamu ni kiumbe kisicho na perfect definition. Ulivyo wewe ndugu ndivyo hivyo ulivyo. Asije mtu kukudanganya kuwa umuamini yeye na kwamba anaweza kukufanya na kukugeuza uwe mtu tofauti na alivyokuumba Mungu.
 
In politics there are no permanent friends or enemies, only permanent interests
 
Binadam yupo katika msuguano.Msuguano huo ni kwa lengo la kuyamiliki mazingira kijamii,kisiasa na kiuchumi ili yaweze kumpa mahitaji yake ya msingi kama chakula,Mavaz na malazi. Matokeo ya msuguano huo ni kuibuka kwa mifumo mbalimbali inayoongoza maisha yetu kama vile ujamaa,utumwa,ukabaila,ubepari.Mifumo mingine ni demokrasia ,udikteta, ukristo,uislam, nk Mifumo yote hiyo haina shida ila shida inaanza pale mtu ama watu ama Taifa moja linalazimisha dunia nzima kufuata Mfumo wa maisha wanaouamin.Hapo ndio chanzo cha kuonesheana vidole we dictator huna demokrasia mara vurugu na Serikali kupinduliwa.Hivyo wanasiasa wote WaPo ktk mapambano kama walivyo wakulima na wafugaj
 
Watazame na wasikilize wanaoongoza serikali hii yaani CCM, Magufuli na wenzake wanavyojitetea kwa kila aina ya mashambulizi ya mwili na maneno mabaya dhidi ya wanaowaona kama vikwazo kwao yaani kina Tundu Lissu na CHADEMA yake, kina Zitto Z. Kabwe, Maalim Seif Shariff Hamad na ACT Wazalendo yao.

Yaani utadhani ni raia wa nchi zilizo katika sayari tofauti zenye uadui mkubwa. Na hawa kwa kuwa wana machineries za kutesea na kuulia yaani bunduki na risasi, polisi na jeshi, basi huzitumia ipasavyo ili kulinda positions zao na chakula cha MATUMBO YAO.

Tuseme nini sasa?

Ni hivi, asikudanganye mtu, hakuna cha uzalendo wala nini bali ni hadaa za uzalendo uchwara tu ili kuhakikisha maslahi ya matumbo yao hayapotei!

Hebu wasikilize na watazame kina Freeman Mbowe, Tundu Lissu, Halima James Mdee na wenzao wengi huko CHADEMA wanavyowashambulia wenzao huko CCM kwa kejeli na kila aina ya maneno unayoweza kuita matusi.

Watazame na kuwasikiliza na kina Zito Kabwe, Maalim Seif Sharif Hamad na wenzao huko ACT WAZALENDO wanavyowashambulia wenzao walio ktk chungu cha chakula yaani CCM kwa kila aina ya kejeli na neno lolote lile unaloweza kuliita tusi.

Yaani utadhani ni watu wanaoishi nchi zilizo katika sayari tofauti. Wengine Sayari ya Mars wengine sayari ya Dunia.

Tuseme nini sasa?

Ni hivi, asikudanganye mtu hakuna cha uzalendo wala nini. Hakuna anayepigania maslahi ya mtu mwingine awaye yeyote bali yao na matumbo yao mwenyewe.

Wengine ili kuteka nyara mawazo ya sisi wanaotuhadaa kuwa wanatupigania, wametupa majina ya kuutweza utu wetu kama "wanyonge", " walalahoi" nk.

Yote haya ni zana tu ili waaminike na kuficha uhalisia "missions" zao ovu.

Ni bahati mbaya kuwa, na sisi raia wa kawaida tumekubali na kuingia kwenye hadaa hizi na kujikuta tunaunga mkono moja ya pande maslahi hizi yaani WATAWALA na au WANAOTAKA KUZICHUKUA NAFASI ZA UTAWALA a.k.a wapinzani.

Kwa kufanya hivi, tumeifanya mission yao iwe rahisi sana. Na sisi wananchi wa kawaida katika mazingira haya, kamwe hatutakuja kupata tunayoyatamani katika nchi yetu.

Haya ninayoandika yamethibitishwa na Maalim Seif Sharif Hamad wa ACT WAZALENDO kwa kuamua kujiunga wa aliokuwa anawaona maadui zake na sisi wananchi tukaamini hivyo.

Sasa kawatelekeza na kuwaacha wananchi aliowaaminisha kuwa wakati wa kukomesha dhuluma umefika iwe jua ama mvua kwa yeye kujiunga na CCM tulioaminishwa kuwa ndiyo maadui wa ustawi wetu!

Natamani kuanzia leo nisimwamini mwanasiasa yeyote. Na ofcoz ndivyo itakavyokuwa. Na nitatumia njia zingine kabisa kupambania hali na ustawi wangu kijamii na kiuchumi.

Wamebaki kina Freeman Mbowe, Tundu Lissu na CHADEMA yao kwa ujumla. Tusishangae wakajiunga na waliotuaminisha kuwa ni maadui wa ustawi wetu.

Kweli kabisa, binadamu ni kiumbe kisicho na perfect definition. Ulivyo wewe ndugu ndivyo hivyo ulivyo. Asije mtu kukudanganya kuwa umuamini yeye na kwamba anaweza kukufanya na kukugeuza uwe mtu tofauti na alivyokuumba Mungu.
Tundu Lissu , Mbowe na Chadema wakitusaliti itabifi itafutwe njia mbadala ambayo nadhani itakuwa mbaya sana .
 
Kabla ya kuwalaumu wanasiasa wa upinzani Tanzania ungeanza kwanza kumlaumu magufuli,NEC,zec,polisi ,jwtz na TiSS dhulma wanazofanyiwa hawa viongozi hamzioni?
Mimi nilisema sintokuja kumlaumu kamwe halima mdee na wala sintokuja kumlaumu kamwe maalim seif.nitawalaumu hao was juu walioharibu uchaguzi .
 
1456109.jpg
457901234.jpg
 
Watazame na wasikilize wanaoongoza serikali hii yaani CCM, Magufuli na wenzake wanavyojitetea kwa kila aina ya mashambulizi ya mwili na maneno mabaya dhidi ya wanaowaona kama vikwazo kwao yaani kina Tundu Lissu na CHADEMA yake, kina Zitto Z. Kabwe, Maalim Seif Shariff Hamad na ACT Wazalendo yao.

Yaani utadhani ni raia wa nchi zilizo katika sayari tofauti zenye uadui mkubwa. Na hawa kwa kuwa wana machineries za kutesea na kuulia yaani bunduki na risasi, polisi na jeshi, basi huzitumia ipasavyo ili kulinda positions zao na chakula cha MATUMBO YAO.

Tuseme nini sasa?

Ni hivi, asikudanganye mtu, hakuna cha uzalendo wala nini bali ni hadaa za uzalendo uchwara tu ili kuhakikisha maslahi ya matumbo yao hayapotei!

Hebu wasikilize na watazame kina Freeman Mbowe, Tundu Lissu, Halima James Mdee na wenzao wengi huko CHADEMA wanavyowashambulia wenzao huko CCM kwa kejeli na kila aina ya maneno unayoweza kuita matusi.

Watazame na kuwasikiliza na kina Zito Kabwe, Maalim Seif Sharif Hamad na wenzao huko ACT WAZALENDO wanavyowashambulia wenzao walio ktk chungu cha chakula yaani CCM kwa kila aina ya kejeli na neno lolote lile unaloweza kuliita tusi.

Yaani utadhani ni watu wanaoishi nchi zilizo katika sayari tofauti. Wengine Sayari ya Mars wengine sayari ya Dunia.

Tuseme nini sasa?

Ni hivi, asikudanganye mtu hakuna cha uzalendo wala nini. Hakuna anayepigania maslahi ya mtu mwingine awaye yeyote bali yao na matumbo yao mwenyewe.

Wengine ili kuteka nyara mawazo ya sisi wanaotuhadaa kuwa wanatupigania, wametupa majina ya kuutweza utu wetu kama "wanyonge", " walalahoi" nk.

Yote haya ni zana tu ili waaminike na kuficha uhalisia "missions" zao ovu.

Ni bahati mbaya kuwa, na sisi raia wa kawaida tumekubali na kuingia kwenye hadaa hizi na kujikuta tunaunga mkono moja ya pande maslahi hizi yaani WATAWALA na au WANAOTAKA KUZICHUKUA NAFASI ZA UTAWALA a.k.a wapinzani.

Kwa kufanya hivi, tumeifanya mission yao iwe rahisi sana. Na sisi wananchi wa kawaida katika mazingira haya, kamwe hatutakuja kupata tunayoyatamani katika nchi yetu.

Haya ninayoandika yamethibitishwa na Maalim Seif Sharif Hamad wa ACT WAZALENDO kwa kuamua kujiunga wa aliokuwa anawaona maadui zake na sisi wananchi tukaamini hivyo.

Sasa kawatelekeza na kuwaacha wananchi aliowaaminisha kuwa wakati wa kukomesha dhuluma umefika iwe jua ama mvua kwa yeye kujiunga na CCM tulioaminishwa kuwa ndiyo maadui wa ustawi wetu!

Natamani kuanzia leo nisimwamini mwanasiasa yeyote. Na ofcoz ndivyo itakavyokuwa. Na nitatumia njia zingine kabisa kupambania hali na ustawi wangu kijamii na kiuchumi.

Wamebaki kina Freeman Mbowe, Tundu Lissu na CHADEMA yao kwa ujumla. Tusishangae wakajiunga na waliotuaminisha kuwa ni maadui wa ustawi wetu.

Kweli kabisa, binadamu ni kiumbe kisicho na perfect definition. Ulivyo wewe ndugu ndivyo hivyo ulivyo. Asije mtu kukudanganya kuwa umuamini yeye na kwamba anaweza kukufanya na kukugeuza uwe mtu tofauti na alivyokuumba Mungu.
Mfumo mbovu wa Tanzania mkuu
 
Badilisha mazingira.
Every situation is an opportunity Bro
Ni kubadilisha mfumo mzima uendane na hali halisi, hamna kitu mwanasiasa atakuletea kwa matakwa yako, wao nao ni binadamu ambao wanafanya kwa matakwa yao.
kwamaana hio kupambana na hali yako ndio chaguo sahihi na bora zaidi!
Kwa miaka 35 nimekuwa nikitafuta hela na kujenga himaya yangu,leo mtu mmoja anakuja na kuharibu mazingira ya utafutaji hela,nifanyaje!?
 
Katika Nchi yenye dhuluma unahitaji kuwa mdhulumishi wewe mwenyewe.
maji yafate mkondo
Unatafutaji hela kwenye Nchi iliyojaa DHULUMA? Hujasikia wafanyakazi, wakulima na wafanyabiashara kudhulumiwa billions kama siyo trillions!?
 
Zito alishasema usimuamini mwanasiasa yoyote cha ajabu bado watu walizugwa akili wakawaamini
Kama mwanasiasa mwenyewe alitamka hayo vip mjitie kuwaamini.
 
Watazame na wasikilize wanaoongoza serikali hii yaani CCM, Magufuli na wenzake wanavyojitetea kwa kila aina ya mashambulizi ya mwili na maneno mabaya dhidi ya wanaowaona kama vikwazo kwao yaani kina Tundu Lissu na CHADEMA yake, kina Zitto Z. Kabwe, Maalim Seif Shariff Hamad na ACT Wazalendo yao.

Yaani utadhani ni raia wa nchi zilizo katika sayari tofauti zenye uadui mkubwa. Na hawa kwa kuwa wana machineries za kutesea na kuulia yaani bunduki na risasi, polisi na jeshi, basi huzitumia ipasavyo ili kulinda positions zao na chakula cha MATUMBO YAO.

Tuseme nini sasa?

Ni hivi, asikudanganye mtu, hakuna cha uzalendo wala nini bali ni hadaa za uzalendo uchwara tu ili kuhakikisha maslahi ya matumbo yao hayapotei!

Hebu wasikilize na watazame kina Freeman Mbowe, Tundu Lissu, Halima James Mdee na wenzao wengi huko CHADEMA wanavyowashambulia wenzao huko CCM kwa kejeli na kila aina ya maneno unayoweza kuita matusi.

Watazame na kuwasikiliza na kina Zito Kabwe, Maalim Seif Sharif Hamad na wenzao huko ACT WAZALENDO wanavyowashambulia wenzao walio ktk chungu cha chakula yaani CCM kwa kila aina ya kejeli na neno lolote lile unaloweza kuliita tusi.

Yaani utadhani ni watu wanaoishi nchi zilizo katika sayari tofauti. Wengine Sayari ya Mars wengine sayari ya Dunia.

Tuseme nini sasa?

Ni hivi, asikudanganye mtu hakuna cha uzalendo wala nini. Hakuna anayepigania maslahi ya mtu mwingine awaye yeyote bali yao na matumbo yao mwenyewe.

Wengine ili kuteka nyara mawazo ya sisi wanaotuhadaa kuwa wanatupigania, wametupa majina ya kuutweza utu wetu kama "wanyonge", " walalahoi" nk.

Yote haya ni zana tu ili waaminike na kuficha uhalisia "missions" zao ovu.

Ni bahati mbaya kuwa, na sisi raia wa kawaida tumekubali na kuingia kwenye hadaa hizi na kujikuta tunaunga mkono moja ya pande maslahi hizi yaani WATAWALA na au WANAOTAKA KUZICHUKUA NAFASI ZA UTAWALA a.k.a wapinzani.

Kwa kufanya hivi, tumeifanya mission yao iwe rahisi sana. Na sisi wananchi wa kawaida katika mazingira haya, kamwe hatutakuja kupata tunayoyatamani katika nchi yetu.

Haya ninayoandika yamethibitishwa na Maalim Seif Sharif Hamad wa ACT WAZALENDO kwa kuamua kujiunga wa aliokuwa anawaona maadui zake na sisi wananchi tukaamini hivyo.

Sasa kawatelekeza na kuwaacha wananchi aliowaaminisha kuwa wakati wa kukomesha dhuluma umefika iwe jua ama mvua kwa yeye kujiunga na CCM tulioaminishwa kuwa ndiyo maadui wa ustawi wetu!

Natamani kuanzia leo nisimwamini mwanasiasa yeyote. Na ofcoz ndivyo itakavyokuwa. Na nitatumia njia zingine kabisa kupambania hali na ustawi wangu kijamii na kiuchumi.

Wamebaki kina Freeman Mbowe, Tundu Lissu na CHADEMA yao kwa ujumla. Tusishangae wakajiunga na waliotuaminisha kuwa ni maadui wa ustawi wetu.

Kweli kabisa, binadamu ni kiumbe kisicho na perfect definition. Ulivyo wewe ndugu ndivyo hivyo ulivyo. Asije mtu kukudanganya kuwa umuamini yeye na kwamba anaweza kukufanya na kukugeuza uwe mtu tofauti na alivyokuumba Mungu.
Hivi kabla ya kuwalaamu wenzio umejiuliza wewe umefanya nini? Je mpinzani ni nani na anapaswa kuwepo kwa faida ya nani? Na kwa nini mpinzani wa kweli usiwe wewe?
 
Back
Top Bottom