Sasa naamini hakuna mwanasiasa mzalendo, hakuna! Kelele zote huwa ni za kupigania maslahi ya matumbo yao tu

Zito alishasema usimuamini mwanasiasa yoyote cha ajabu bado watu walizugwa akili wakawaamini
Kama mwanasiasa mwenyewe alitamka hayo vip mjitie kuwaamini.
Mkuu sijui kama unajua hata magufuli ni mwanasiasa? Sasa tusipowaamini hawa wanasiasa nchi hii itatawalika kweli?
 
Hapo zamani enzo za Kwame Nkurumah na Nyerere tulianza tunawapigania baadae mkatugeuzia kibao na kusema: " miaka yote aliyokuwa diwani hata la ghorofa ka floor 4 hana, hata peogeout 404 hana, watoto wake hata hawasomi USA..." Kusikia hivyo tukafuta dhana ya kuwatetea Sasa hivi ni maslahi yetu kwanza tena ikibidi tunawatanguliza kwenye maandamano wawatandikeni risasi ili iwe rahisi kwetu kitwa kwenye meza ya mariadhino Kisha kugawiwa mijivyeo na mohela juu
 
Yaani we miaka yote hii ulikuwa hujuwi hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…