Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
Pitia nyuzi zangu ujifungue vifungo ulivyofungwaWakuu nimepambana sana, tafuta connection za maana.... Piga kazi kama kichaa, hakuna kuchagua kazi lakini wapi....
SASA kama nyie wachawi mpo, mjipange...... Maana naingia kijijini kurudi na dawa yenu. HAKUNA KUTIA HURUMA.
Ulete mrejesho nasi tuje maana hali ni mbayaaaWakuu nimepambana sana, tafuta connection za maana.... Piga kazi kama kichaa, hakuna kuchagua kazi lakini wapi....
SASA kama nyie wachawi mpo, mjipange...... Maana naingia kijijini kurudi na dawa yenu. HAKUNA KUTIA HURUMA.
Shetani hawezi kujipinga Mwenywe.. Unakoenda Utapata Majanga zaidi.Wakuu nimepambana sana, tafuta connection za maana.... Piga kazi kama kichaa, hakuna kuchagua kazi lakini wapi....
SASA kama nyie wachawi mpo, mjipange...... Maana naingia kijijini kurudi na dawa yenu. HAKUNA KUTIA HURUMA.
Utazidi kupotezaWakuu nimepambana sana, tafuta connection za maana.... Piga kazi kama kichaa, hakuna kuchagua kazi lakini wapi....
SASA kama nyie wachawi mpo, mjipange...... Maana naingia kijijini kurudi na dawa yenu. HAKUNA KUTIA HURUMA.