Sasa nafundisha TV & video production katika chuo cha bagamoyo

Sasa nafundisha TV & video production katika chuo cha bagamoyo

Joined
Feb 4, 2019
Posts
20
Reaction score
18

Kwa wanaotaka kujifunza zaidi ya online kupitia YouTube channel yangu ya Director chuma mnaweza kujiunga na chuo ninachofundisha bagamoyo kwa sasa
karibuni sana
 
Attachments

  • From Pr (0-00-28-26).jpg
    From Pr (0-00-28-26).jpg
    121.7 KB · Views: 40
  • From Pr (0-00-44-14).jpg
    From Pr (0-00-44-14).jpg
    108.9 KB · Views: 37
  • From Pr (0-00-57-23).jpg
    From Pr (0-00-57-23).jpg
    89.3 KB · Views: 39

Kwa wanaotaka kujifunza zaidi ya online kupitia YouTube channel yangu ya Director chuma mnaweza kujiunga na chuo ninachofundisha bagamoyo kwa sasa
karibuni sana
Nilikua nataman sana nifungue chanel ya youtube ila hii sheria mpya imenivunja moyo... Je wewe umetumia njia gani mkuu?
 
Nilikua nataman sana nifungue chanel ya youtube ila hii sheria mpya imenivunja moyo... Je wewe umetumia njia gani mkuu?
Sheria gani?, wanaopaswa kusajili ni wanaorusha Habari kama kina Ayo tv

By the way hongera kwa mtoa post.
 
Daaah mkuuu ninhependa sana kujiungaa niko mwanza semaa itabidi nifuatili online mkuu
 
Lesson inachukua muda gani na gharama zake zikoje?
Ni mwaka (Masomo miezi 9) na ada ni Milion moja na laki moja kwa full course Tv & video video production lakini unaweza kulipa kwa awamu au unaweza kusoma course ya miezi mitatu mitatu ikiwa miezi mitatu ya kwanza utalipia laki 5 na miez 3 inayofuata ni laki 3 na ya mwisho mitatu ni laki 3
Karibu sana
 
Back
Top Bottom