NAAMINI
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 672
- 235
Mimi ni mwanaharakati na mchambuzi wa siasa
wa siku nyingi tokea nikiwa chuo kikuu cha Dar
na sijawahi kuwa na chama chochote cha siasa,ni
mmoja kati ya watu waliosimamia ule mgomo
uliowezesha kupanda kwa boom toka sh.5000
hadi 7500..baada ya tafakari ya muda mrefu sasa nimefanya maamuzi rasmi naomba macomrades
wa CCM mnipokee na nipo tayari na kwa uaminifu
kufanya kazi katika chama hichi ambacho naona
bado kina leta tumaini kwa wananchi..vijana
wenzangu karibuni huku ccm..naomba mni PM
viongozi ili nijue nawezaje pata kadi ya ccm..ni mimi mchambuzi na mwanaharakati..naomba
mnipokee ccm..