haya nimerudi best. Mtazamo wangu mimi kijana asitafute mchumba/mke wakati anapofikiri yupo tayari kuoa in terms of age na mambo mengine. Tafuta marafiki wazuri wa kike kabla na katika hao hao marafiki zako ndio utajipatia mke.