yule bibi air hostess bado yupo?Wanandugu sasa naweza kuruka na atcl;nilikuwa nailaani sana hasa baada ya kushindwa kunisafirisha miezi iliyopita;majuuzi niliamua kwenda mwanza hakika walinifurahisha tangu huduma za ndnai mpaka nje.....napenda kuwapongeza na kuwaasa sasa wenzangutunaweza kwenda kukata airtanzania....
yule bibi air hostess bado yupo?
hujanisoma......Siyo suala la bibi, ni huduma gani unapata!, nasafili sana UK/US/JAPAN/GERMAN, mara nyingi nakumbana na vibibi na babu kwenye hizo airline, lakini huduma zao ni nzuri,
Hujanisoma.......Hivi mnachotaka ni huduma nzuri au ni umri kwani akiwa msichana au kibibi kuna tofauti gani!?
Umeongea neno sana mkuu!Siyo suala la bibi, ni huduma gani unapata!, nasafili sana UK/US/JAPAN/GERMAN, mara nyingi nakumbana na vibibi na babu kwenye hizo airline, lakini huduma zao ni nzuri,
yule bibi air hostess bado yupo?