Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

Asanteni wote mlioshiriki kwenye mjadala huu, nime pitia comments zote mwanzo mwisho na kuweza kujua na kujifunza mengi.
Moja wapo la nililojifunza watanzania wa mitandaoni wana muda mwingi wa kujadili watu wanaotafuta pesa kiasi cha kutaka kutoana ngeu.

Sasa kampuni ikiwa ya diamond au la sijui mtu unanufaika nn.

#Tanzania-ya-udaku.
 
Moja wapo la nililojifunza watanzania wa mitandaoni wana muda mwingi wa kujadili watu wanaotafuta pesa kiasi cha kutaka kutoana ngeu.

Sasa kampuni ikiwa ya diamond au la sijui mtu unanufaika nn.

#Tanzania-ya-udaku.
Hilo ndio la kujiuliza mkuu, tabu Sana.
 
Duuuu Daaah hoja ya Kusaga kumiliki wasafi mbona haizungumziwi? Maana mlitulisha matango pori kwamba kusaga hana share zozote wasafi.
Ukinionesha post yangu moja TU niliyowahi kusema Kusaga hana share zozote za Wasafi, basi najipiga ban mwenyewe hadi June 2019!!

Najua mnajaribu kubadili mada hapa baada ya kuaminishwa kwamba Kusaga anamiliki 92% ya share!! Sasa badala ya kuona kumbe mlikuwa mnalishana matango pori, ndo mnataka kuhamisha magoli sasa!!

Ambacho mara zote nilipinga ni hicho cha kusema Joe anamiliki 92%!

Isitoshe, suala la Kusaga na Wasafi, ni juzi tu hapa (kabla ya hilo tangazo la TCRA) nilisema:
How come awe na 100% wakati hata sheria hairuhusu?!
Unaona sasa! Kabla ya kwenda mbali, kauli yangu hiyo tu inawasuta wale waliosema eti "tulikuwa" tunasema Wasafi ni 100% Diamond! Au "tu" sijui ni akina sijui!

Nikaongeza: Hivi nina haja ya kuendelea kweli hapo?! Lakini ngoja, labda ni hiki ndicho ambacho ulishindwa kunielewa:

Umeona tofauti ya ulichosema na nilichosema?!

Come on man, naamini umenifahamu hapa JF for a long time now, you don't believe I can be that dumb!
 
Heshima kwako Mkuu chige Salute you!!! Sorry kwa ku_generalise issue ya Timu Dangote kwamba walikuwa wanasema kwamba "Kusaga hana share Wasafi",Wengi mashabiki wa Dangote walitulisha "KASA" ila shukrani kwa kutoa maelezo hakika wakiona comments zako za kukubali kwamba Dangote hamiliki 100% itawafumbua "Brain".
 
Mkuu nimekuelewa sana swali langu mbona apo kwenye tangazo ni hisa za wasafi TV means zipo na za wasafi radio ????? Na kama zipo apo ndio naamini diamond alivyo mjanja anaweza akawa na zaidi ya 50%
 
Musukule ungine wa mangekimavi [emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Toa ushaidi acha kupotosha umma wewe tuwekee hiyo hati ili tujue hisa za kila mtu kam mange alivyoweka ambayo ni tofauti na usemavyo wewe acha figisu hizoooo
 
There you're....

Hao waliokuwa wanasema "Kusaga hana share Wasafi" ni kwa sababu hawafahamu uhusiano wa kibiashara kati ya Kusaga na Diamond. Hawa watu wanaishi ile tunaita symbiotic relationship... mutual benefit!

Kusaga anafahamu kwamba Brand ya Diamond inauza sana kwa sasa, na kwa upande wake Kusaga is full of ideas and executive level connections!

Hii idea ya tv kwa Chibu ilikuwapo way back 2014! Lau kama wange-team up wakati ule ule; Diamond asingefikisha hata 20%... amejitahidi sana labda angekuwa na 10%. Lakini kwa sasa, jamaa amekuwa mkubwa sana kwa jina na hata level ya kiuchumi! Uki-team up nae, hata kama mtaji hana wa kutosha kufikisha % fulani, kwake inakuwa rahisi sana kukopesheka hata kwa kutumia turnover ya shows anazopiga.
 
Mkuu nimekuelewa sana swali langu mbona apo kwenye tangazo ni hisa za wasafi TV means zipo na za wasafi radio ????? Na kama zipo apo ndio naamini diamond alivyo mjanja anaweza akawa na zaidi ya 50%
Yah! Kuna wengine hizi kampuni wanapendelea kuzivunja vunja.

Unaweza kusajiri kampuni mama ambayo ni Wasafi Media na ndani ya Wasafi Media ukasajiri kampuni zingine kadha wa kadha, kama vile Wasafi TV, Wasafi Radio n.k!

Impact yake nini?!

Diamond kama Diamond (labda na timu yake ya Wasafi) wanaweza kuimiliki Wasafi Media kwa 100%. Halafu ndani ya Wasafi Media, ndo kunakuwa na kama ilivyo--

Wasafi TV... Diamond 45%, Kusaga &Co 55%
Wasafi Radio... Diamond 45%, Babu Tale 15%, Sallam 10%, Sugu 30%
Wasafi Cable TV Diamond 30%, Kusaga 40%, Ruge 10%, Kipanya 20%
Wasafi Digital Marketing Agency... Diamond 35%, Magavila 30%, Tutsa 35%

n.k na hizo zote zinakuwa chini ya Wasafi Media! New Investors na idea zao au mitaji yao watakuwa wanafuata brand ya Wasafi Media
 
Laiti kama jf tungekuwa tunakutana kwenye kongamano la kujadili mambo jinsi ya kujikwamua kiuchumi naamini leo hii wote tungekuwa tunamkimbilia MO kwa umbali mfupi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…