Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,860
Huyu mtoto anaitwa Mziwanda ni ndorobo wa hatari,Jamaa katoka hapa na demu wake shilole kwenda kufanya show Ubeligiji cha kushangaza kafika kule kazi ni kupiga picha yeye na jukwaa tu(bila mashabiki)
Mnaweza kuingia kwenye account yake Instagram kushuudia vituko.
Nimejiuliza hakupata wahuzuriaji?
Na kama hakupata alikuwa na sababu gani ya kupiga picha na jukwaa tu..??
Maiki yenyewe ya waya tena waya refu kinoma "eti ulaya hahaha...
Nadhani angekula mikausho ingemsaidia zaidi,Baya kuliko yote dogo kaposti "eti amefanya show ya wazungu tupu bila black people hivi ana akili kweli nadhani upo upungufu kwenye ubongo wake
Na anaitaji watu wa kumfanyia matibabu ya ubongo,Binafsi si kujuwa kama huyu Bwa mdogo ni Ndorobo kiasi hiki.Kweli Shilole kazi anayo "Yani mtu anadharau rangi yake mwenyewe dah..kweli ulaya mbinguni kwa baadhi ya watu.