Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Awali sikuelewa changamoto zilizopo kwenye madaraja ya juu mbezi, jana jioni nami nilikuwa miongoni mwa walionasa kwenye foleni Mbezi kutokana na wingi wa madari yanayotokea stand ya daladala na yale yatokayo Kimara kuvuka upande wa Magufuli Terminal.