jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Matatizo ya kuvamia na kuiga mifumo ya walami bila upembuzi yakinifu yanadhihirika sasa.
Nchi tuliyoambiwa imepiga hatua mbele katika kufuata demokrasia sasa inaumbuka na inashindwa kujinasua kwenye sakata la maandamano.
Tuliaminishwa vurugu zingeweza kuondoshwa na uwepo wa katiba mpya lakini badala yake tunajionea vurugu zaidi na kutotawalika kwa nchi ya Kenya.
N.B rejea vurugu baada ya uchaguzi ,utekaji wa kiongozi wa Tume ya uchaguzi,uchomaji mashamba ya familia ya Kenyata na sasa maandamano yenye vurugu.
Pia Soma: LIVE - Yanayojiri Maandamano Kenya: Waandamanaji wafika Bungeni, wawili wauawa kwa risasi