Hilo halihusiani na katiba, linahusiana na jamii ya wakenya, is what happen unapokuwa na jamii iliyoelimika zaidi, jamii ina graduates wengi zaidi halafu nafasi hamna. Lakini pia hata wanachokipata bado kinabanwa.Matatizo ya kuvamia na kuiga mifumo ya walami bila upembuzi yakinifu yanadhihirika sasa.
Nchi tuliyoambiwa imepiga hatua mbele katika kufuata demokrasia sasa inaumbuka na inashindwa kujinasua kwenye sakata la maandamano.
Uelewa wa mambo wkt sasa wanaanza kuvamia biashara na kuharibu maliHilo halihusiani na katiba, linahusiana na jamii ya wakenya, is what happen unapokuwa na jamii iliyoelimika zaidi, jamii ina graduates wengi zaidi halafu nafasi hamna. Lakini pia hata wanachokipata bado kinabanwa.
Jamii kama hii si salama sana kwa wana siasa, si rahisi kuwasokota maana wana uelewa wa mambo
Wasomi wengi hawajaanza kuwepo miaka hii hapo kenya ...usitupige kamba.Hilo halihusiani na katiba, linahusiana na jamii ya wakenya, is what happen unapokuwa na jamii iliyoelimika zaidi, jamii ina graduates wengi zaidi halafu nafasi hamna. Lakini pia hata wanachokipata bado kinabanwa.
Jamii kama hii si salama sana kwa wana siasa, si rahisi kuwasokota maana wana uelewa wa mambo
Mtu mweusi huwa hakubali kushindwa uchaguzi na hasa anaposhindwa kwa kura chache. Rejea Africa kusini Zuma chama chake kimefanya vizuri katika uchaguzi hata kushangaza watu lakini bado anadai kaibiwa kura , hivi kama ANC wangekuwa na uwezo wa kuiba si wangeiba ili wafikishe asikimia 50 waunde serikali peke yao?Matatizo ya kuvamia na kuiga mifumo ya walami bila upembuzi yakinifu yanadhihirika sasa.
Nchi tuliyoambiwa imepiga hatua mbele katika kufuata demokrasia sasa inaumbuka na inashindwa kujinasua kwenye sakata la maandamano.
Umeongea jambo la maana ambalo wamekuwa wakiambiwa, huwezi kucopy paste katiba ya marekani uilete Kenya halafu uwe salama. Kila mtu ana sharubu sasa nchi inakwenda kusambaratikaMatatizo ya kuvamia na kuiga mifumo ya walami bila upembuzi yakinifu yanadhihirika sasa.
Nchi tuliyoambiwa imepiga hatua mbele katika kufuata demokrasia sasa inaumbuka na inashindwa kujinasua kwenye sakata la maandamano.
Pia Soma: LIVE - Yanayojiri Maandamano Kenya: Waandamanaji wafika Bungeni, wawili wauawa kwa risasi
Unaongea kama konki master Dudu Baya😎Hilo halihusiani na katiba, linahusiana na jamii ya wakenya, is what happen unapokuwa na jamii iliyoelimika zaidi, jamii ina graduates wengi zaidi halafu nafasi hamna. Lakini pia hata wanachokipata bado kinabanwa.
Jamii kama hii si salama sana kwa wana siasa, si rahisi kuwasokota maana wana uelewa wa mambo
Hiyo demokrasia inayoyumbisha Taifa inasaidia nini?Unavyoelewa Neno Demokrasia unaelewa vipi?
Ndio hivo kwamba kila mtu ana haki ya kufanya jambo lolote bila kuguswa.
Nyie Ccm kwa kujua uchafu wenu na Bibi enu huyo Mpemba mnaogopa maana mnaelewa tutaua hadi wajukuu zenu wa Kizimkazi huko.
Lengo la kutoa nguvu kwa mamlaka mbalimbali limesaidia nini?Kwako wewe unaona jinsi Tz inavyoendeshwa ndiyo sawa? Katiba ndiyo injini ya nchi. Ikiwa inawapendelea watawala, wananchi lazima muishi kama kondoo. Chochote watafanya na kusema nyinyi ni kufuata tu.
Wenzetu wamevuka huko, Mahakama ina makali, inaweza kuikemea Serikali. Hapa huwezi ona hilo, utasema tuna muhimili mmoja tu, mingine ni matawi ya chama na serikali.
Issue si graduate wengi, ni kujielewa tu.Hilo halihusiani na katiba, linahusiana na jamii ya wakenya, is what happen unapokuwa na jamii iliyoelimika zaidi, jamii ina graduates wengi zaidi halafu nafasi hamna. Lakini pia hata wanachokipata bado kinabanwa.
Jamii kama hii si salama sana kwa wana siasa, si rahisi kuwasokota maana wana uelewa wa mambo
Utasikia wao wenyewe wanakuambia eti katiba yao ni bora dunia nzima😉Umeongea jambo la maana ambalo wamekuwa wakiambiwa, huwezi kucopy paste katiba ya marekani uilete Kenya halafu uwe salama. Kila mtu ana sharubu sasa nchi inakwenda kusambaratika