Sasa ni dhahiri, katiba mpya ni mwiba kwa Wakenya!

Katiba mpya haina shida, usilaumu wananchi kudai haki Yao, saikolojia inasema, ukikaa Sana kwenye mateso, unayazoea, nakuona ni kawaida, kama baadhi wanavyoona maisha haya ya bongo, kwamba ni mapenzi ya Mungu wewe ukose ajira, mkopo wa, elimu ya juu, utibiwe hopsitsri uchwala, wenzio hata mafua wana kwenda ulaya.

Wanchodai vijana, very simple, kwanini umeongeza ofisi za wake wa viongozi, wakati katiba hairuhusu? Maisha ni magumu, kwanini umeongeza ukubwa wa serikali? Wananchi wanataka mdahalo wa nchi Yao, nchi na viongozi, waishi kwa uwezo wao, punguza matumizi ya sio ya lazima, magari, chai ofcn, safari, semina, walsha,pesa, nyingi iende kwenye uzalishaji Mali, sio kula!

Status, ya, Kenya, na, nchi nyingi za Afrika, ni Kodi insyokusanywa kwa mwezi, instosha kulipa madeni na mishahara tu, ukitaka kujenga balabala, elimu bure, afya, huduma za, making, lazima ukope! Hapo lazima upunguze matumizi, sasa wanasiasa wanakopa kununua magari, fenicha, chai, safari, hayo ndio yanayowakela wakenya, wa bongo wao wanalia Lia tu, akili zimeshikwa, maisha yakibana, Mwamposa anaambiwa aitishe mkesha wa "kufuta shida na ma balaa kwenye maisha" Kenge wakibongo wanafurika, wanategemea watattua shida za kiuchumi kwa mapambio!

Wakati watoto wako wanakosa maisha mazuri, w anakimbilia kanisani kuomba.
 
Kilio hiko kiliiondoa KANU madarakani na baadaye kumekuwa ni vuruvuru tu...katiba mpya ingesolve hayo matatizo basi lakini hilo halionekani badala yake mmerudi kwenye mbinu zilezile tena this time ni worse.
 
Huu ushuzi nenda kautamke mbele ya wakenya wakiwa wanaandamana halafu subiri dakika Moja uangalie nini kitakutokea nyumbu wewe
 
Yaani ufisadi sio ishu, kodi kandamizi sio ishu, ishu iwe katiba mpya?

Nilitegemea ungekemea hivyo vitu kwanza kabla ya kuigusa Katiba. Nilitegemea ungekemea visababishi vya Vijana kuandamana ila ukiwa na akili za Kitanzania ni ngumu kufikiri namna hii.

Wafanyabiashara wakifunga maduka mnakimbilia kusema wanatumiwa na Wapinzani. Wengine wakikosoa utawala mnawaita wadini. Ndivyo Utanzania ulipofikia. Huwa hatuamini kama tatizo tumelianzisha wenyewe lazima atafutwe wa kunyoshewa kidole.
 
Uelewa wa mambo wkt sasa wanaanza kuvamia biashara na kuharibu mali
Tofauti na hapa Tanzania ambako Wezi na waharibifu na wabambikaji wa Kodi ni Makada wa CCM na Serikali yao.
 
Mleta mada unaijua katiba ya kenya?
Mleta mada unazijua katiba za Ulaya na USA?
Mleta mada unajua umuhimu wa katiba?
Nina uhakika ungejua hayo vyema nina uhakika usingeandika hayo.

Kwa kifupi sana, Katiba ni mkataba wa jamii husika namna ya kuishi na kuendesha mambo yake kwa utaratibu. Ni mpumbavu pekee anayeweza kubeza jamii inayotengeneza katiba yake au jamii inayopambana kuisimamia katiba yake.
 

Serekali ya Kenya ndo ilianza kukiuka katiba. Waandamanaji wanafaa kulindwa na polisi, instead siku ya kwanza polisi walileta vurugu Kwa maandamano ya amani, siku ya pili polisi wakaongezwa, teargas ilikua inarushwa kiholela, waandamanaji wengine wakaanza kurusha mawe.... Siku ya tatu ndo wahuni wakaingia wakaanza kupora huku polisi wakipigana na raiya.
Kama polisi wangefwata katiba mpya badala ya kutumia tactics za ukoloni hakungekua na vurugu yoyote manake ata wahuni wangeshindwa kupora, polisi wangesimama huko kando kando mbele ya maduka na waachane na waandamanaji.... Siku mmoja naomba Dua polisi waamue kufanya hivi kama vile katiba inavyosema, hata hao wenyewe wataona Raha manake kazi itakua rahisi sana.
 
Siamini nachokisoma!!! Kama hizi ndizo fikra za Watanzania wengi, safari bado ndefu sana. Mihimili kujitegemea Kenya, unahoji imesaidia nini!!!
Kwanza uelewe, Kenya imekuwa ikisumbuliwa na ufisadi wa kutisha, kukopa. Na sasa wanawaongezea mzigo mkubwa wa kodi wananchi. Katiba unayosema imewasaidia nini, nataka kukwambia imewasaidia sana na itawasaidia zaidi.
 
kenya ya 10 years ago =Kenya ya sasa ...no significant gain zaidi ya kupata katiba mpya ambayo imetengeneza kila mtu na kila taasisi kuwa na sharubu.
Hakuna checks n balance zaidi ya chaos.
 
Ni mwiba kwa watawala na machawa kama ninyi na Lucas Mwashambwa..siyo mwiba kwa wakenya.
 
Tatizo ni katiba ya copy n paste inawaletea kizazaa
 
Hawa si chawa? Ungetegemea la maana kwa akili kama hizi?
 
Yaani wewe maiti unakosoa wagonjwa nchi ngumu sana hii umefatiria bunge la kenya jana kuhusu kuongezwa mshahara wabunge! Stupid
 
Yaani wewe maiti unakosoa wagonjwa nchi ngumu sana hii umefatiria bunge la kenya jana kuhusu kuongezwa mshahara wabunge! Stupid
mimi nimefuatilia bunge la kenya kabla "Jogoo hajachinjwa" hadi leo.
 

..Kenya kuna matatizo ya KIUCHUMI ndiyo yaliyopelekea wananchi kuandamana.

..Waandamanaji hawajalalamikia Katiba wakati wowote hivyo hatuwezi kulaumu Katiba ya Kenya.

..Waandamanaji wanaitaka serikali yao ichukue hatua za Kikodi na Kifedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…