Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kama Payet yule yule wa msimu uliopita yupo kwanini asilaumiwe kocha ?Tatizo sio kocha tatizo ni aina ya wachezaji alio no. Kama yeye ndio kahusika katika kusajili wachezaji anatakiwa kuwa responsible to be fired ila kama kuna jopo la usajili basi wao ndio wanatakiwa waadhibiwe. Kwani inaonekana kwa msimu uliopita walionekana West ham walikuwa kwenye form na mori kubwa but msimu huu mori imepungua sasa hapo lazima iangaliwe tatizo ni nini, ila sio kumwadhibu kocha moja kwa moja.
But all in all Coach are hired to be fired
Tatizo linaweza kuwa ni mchezaji mwenyewe je ame mentain kiwango chake thus why inafika kipindi kocha anauza mchezaji kwa kushindwa kumantain viwango vyao kwa mfano Martin skrtel beki kisiki wa liverpool alifika kipindi alishuka kiwango akaamua kuuza sasa inaonekana kuna wachezaji wapo West ham wameshuka viwango lakini kocha anaamini watabadilika when days goes on ndio maana anawavumilia hiyo inatokana pia na matatizo ya kifedha waliyonayo West hanKama Payet yule yule wa msimu uliopita yupo kwanini asilaumiwe kocha ?
Siku zake zinahesabika , hata kwa hesabu za kawaida unadhani Evans ana maisha katika Simba ?Mbona Aveva bado anadunda Msimbazi, ulishindwa kumuondoa?