Sasa ni mwendo wa kujitokeza wazi wazi

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
869
Reaction score
1,282
Naona kwa sasa nchi inaelekea kwenye uponyaji wa kweli baada ya watu wengi kuondokana na tabia ya kuogopa na sasa wanaongea wazi-wazi.

Watekaji wasiojulikana wanakazi ya kuteka wananchi wote wanaopenda haki, mabadiliko ya sheria za uchaguzi, tume huru ya uchaguzi, nk.
 
Tuliwaambia mapema hawana uwezo wa kuua, kuteka, kupoteza, kufunga, na kuwanyamazisha midomo wananchi wote, na bado hawaamini mpaka muda huu. Sasa sijui wameshageuka kuwa sikio la kufa....!!
 
Watuue wote wabaki wao na familia zao,waenjoy twice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…