𝗦𝗔𝗦𝗔 π—‘π—œ π—‘π—šπ—¨π— π—¨ 𝗠π—ͺπ—œπ—­π—œ π—žπ—¨π—ͺπ—˜π—­π—” π—žπ—¨π—­π—œπ— π—” 𝗔𝗨 π—žπ—¨π—™π—¨π—§π—” π—©π—œπ—§π—¨ π—žπ—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜ π—¦π—œπ— π—¨ π—¬π—”π—žπ—Ό

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
𝗦𝗔𝗦𝗔 π—‘π—œ π—‘π—šπ—¨π— π—¨ 𝗠π—ͺπ—œπ—­π—œ π—žπ—¨π—ͺπ—˜π—­π—” π—žπ—¨π—­π—œπ— π—” 𝗔𝗨 π—žπ—¨π—™π—¨π—§π—” π—©π—œπ—§π—¨ π—žπ—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜ π—¦π—œπ— π—¨ π—¬π—”π—žπ—Ό

Copy of Copy of Copy of Copy of DarkWeb kuingia _20241213_182458_0000.png

Watu wengi walikua wakiibiwa simu zao mwanzoni wezi walikua wanakua na uwezo wa kufuta Kila kitu kwenye simu kwa urahisi.

Lakini Sasa kampuni ya Google inayomiliki mfumo wa android wameweka mfumo mpya wa kuongeza ulinzi kwenye simu za android.

2_20241213_181907_0001.png

Kuna feature inaitwa "identity check" ni feature mpya ambayo mtumiaji wa simu za android ataweza kuzuia simu yake kufutwa Ikitokea imeibiwa au kupotea, kwani bila password, passkey, pin mtu hatoweza kufuta akaunti.

Feature hii ya identity check simu itahitaji Alama ya kidole au uso (biometric system) ili kuweza kuthibiitisha mabadiliko makubwa kwenye simu kama vile kubadili password ya simu,kufuta akaunti ya simu, kuona password, passkey pamoja na kuzima find my device.

3_20241213_181907_0002.png

Mfumo huu umewekwa ili kuweza kumzuia mwizi Kufanya badiliko lolote kwenye simu yako Ikitokea imeibiwa au kupotea kwani atokuwa na password au Alama ya kidole chako hivyo kushindwa kufuta na kuzima simu yako.

Mabadiliko haya yanapatikana kuanzia android version 12 mpaka 15 unachotakiwa ni kuingia setting kwenye simu yako kisha >> Google >> All Service>> theft protection >> identity chec
k weka on.
 
Attachments

  • 4_20241213_181907_0003.png
    4_20241213_181907_0003.png
    359.8 KB · Views: 13
Je akiflash simu? Password zote si zinatoka au?
𝗦𝗔𝗦𝗔 π—‘π—œ π—‘π—šπ—¨π— π—¨ 𝗠π—ͺπ—œπ—­π—œ π—žπ—¨π—ͺπ—˜π—­π—” π—žπ—¨π—­π—œπ— π—” 𝗔𝗨 π—žπ—¨π—™π—¨π—§π—” π—©π—œπ—§π—¨ π—žπ—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜ π—¦π—œπ— π—¨ π—¬π—”π—žπ—Ό

View attachment 3175961

Watu wengi walikua wakiibiwa simu zao mwanzoni wezi walikua wanakua na uwezo wa kufuta Kila kitu kwenye simu kwa urahisi.

Lakini Sasa kampuni ya Google inayomiliki mfumo wa android wameweka mfumo mpya wa kuongeza ulinzi kwenye simu za android.

View attachment 3175962

Kuna feature inaitwa "identity check" ni feature mpya ambayo mtumiaji wa simu za android ataweza kuzuia simu yake kufutwa Ikitokea imeibiwa au kupotea, kwani bila password, passkey, pin mtu hatoweza kufuta akaunti.

Feature hii ya identity check simu itahitaji Alama ya kidole au uso (biometric system) ili kuweza kuthibiitisha mabadiliko makubwa kwenye simu kama vile kubadili password ya simu,kufuta akaunti ya simu, kuona password, passkey pamoja na kuzima find my device.

View attachment 3175963

Back
Top Bottom