Ponjoro wa Kinondoni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2024 Posts 3,771 Reaction score 10,311 Jun 27, 2025 #1 Nilikuwa najua ni utani wa Ally Kamwe tu kumbe kweli bwana. Aisee kwa hali hii nadhani mzee Mangungu atupishe tu. Ikumbukwe pia Feitoto na Jonathan Soah tayari wamesha saini Yanga.
Nilikuwa najua ni utani wa Ally Kamwe tu kumbe kweli bwana. Aisee kwa hali hii nadhani mzee Mangungu atupishe tu. Ikumbukwe pia Feitoto na Jonathan Soah tayari wamesha saini Yanga.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,705 Reaction score 104,843 Jun 27, 2025 #2 Mbona walisema hawezi kupata namba?Au huwa wanavizia wachezaji wa Simba kimtindo?
Granta JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 5,082 Reaction score 6,425 Jun 27, 2025 #3 Ponjoro wa Kinondoni said: Nilikuwa najua ni utani wa Ally Kamwe tu kumbe kweli bwana. Aisee kwa hali hii nadhani mzee Mangungu atupishe tu. Click to expand... Kama zilivyo haga zako ni mbali yangu halali
Ponjoro wa Kinondoni said: Nilikuwa najua ni utani wa Ally Kamwe tu kumbe kweli bwana. Aisee kwa hali hii nadhani mzee Mangungu atupishe tu. Click to expand... Kama zilivyo haga zako ni mbali yangu halali
Ponjoro wa Kinondoni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2024 Posts 3,771 Reaction score 10,311 Jun 27, 2025 Thread starter #4 Moisemusajiografii said: Mbona walisema hawezi kupata namba?Au huwa wanavizia wachezaji wa Simba kimtindo? Click to expand... Hahahaa labda anaenda kukaa benchi na Ikangalombo
Moisemusajiografii said: Mbona walisema hawezi kupata namba?Au huwa wanavizia wachezaji wa Simba kimtindo? Click to expand... Hahahaa labda anaenda kukaa benchi na Ikangalombo
Japkas JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 4,074 Reaction score 6,617 Jun 27, 2025 #5 Moisemusajiografii said: Mbona walisema hawezi kupata namba?Au huwa wanavizia wachezaji wa Simba kimtindo? Click to expand... Msonda anaondoka. Na hakuna shabiki wa Yanga asiyekubali uwezo wake
Moisemusajiografii said: Mbona walisema hawezi kupata namba?Au huwa wanavizia wachezaji wa Simba kimtindo? Click to expand... Msonda anaondoka. Na hakuna shabiki wa Yanga asiyekubali uwezo wake