LGE2024 Sasa ni rasmi ngome ya CHADEMA Kaskazini imekosa muelekeo

LGE2024 Sasa ni rasmi ngome ya CHADEMA Kaskazini imekosa muelekeo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Baada ya kuona makamanda wameikimbia ngome yao muhimu kama Moshi na Arusha wakati wa ufunguzi wa kampeni basi hii ni ishara rasmi kuwa CCM imedhibiti vilivyo ngome hii.

Ndio maana Mbowe kaanzia Mbeya na Lissu kaanzia Singida huku Lema hasikiki yupo wapi haswa
 
Chama kilichojifia ila kikitangaza maandamano polisi wanapiga kambi barabarani wiki nzima na mitutu.

Sasa hicho chama si kimekufa tangu 2020 mbona hamkiziki mjinga wao?
 
Huwezi kuweka nguvu kwa watu waliokwisha kombolewa. Moshi na Arusha siyo sawa na CHATO
 
Ni kweli kabisa walipoteza muda sana kushabikia siasa za wapuuzi kama Lema
Nenda pale kwenye kaburi la magufuli ukifika taja jina la lema. Uone kama hata tikisika huko alikolala na kuoza
 
chadema wamekosa umakini kwa ujumla ni kama wamepoteza fahamu

sasa unakuta mwanachadema eti anaita CCM upinzani unajiuliza huyu yuko timamu kweli..chama cha mapinduzi ni chama tawala sio wapinzani kama wanavyodai kwenye baadhi ya nyimbo zao za kampeni huku ni kukosa umakini
 
Kwahiyo sasa mnakubali rasmi kuwa chadema sio chama cha wachaga na sio chama cha kaskazini?
 
Baada ya kuona makamanda wameikimbia ngome yao muhimu kama Moshi na Arusha wakati wa ufunguzi wa kampeni basi hii ni ishara rasmi kuwa CCM imedhibiti vilivyo ngome hii.

Ndio maana Mbowe kaanzia Mbeya na Lissu kaanzia Singida huku Lema hasikiki yupo wapi haswa
Imedhibiti kwa mapingamizi ama kwa nini?
 
Baada ya kuona makamanda wameikimbia ngome yao muhimu kama Moshi na Arusha wakati wa ufunguzi wa kampeni basi hii ni ishara rasmi kuwa CCM imedhibiti vilivyo ngome hii.

Ndio maana Mbowe kaanzia Mbeya na Lissu kaanzia Singida huku Lema hasikiki yupo wapi haswa
Huna haki ya kuwapsngia CDM pa kuanzia. Vipi legacy yenu bado ipogo au ishakufaga?
 
Back
Top Bottom