Na hosp. Ya Kanda inajengwa chato,oyeeeeeerSorry for that.. nilikereka maana nilipataga ishu kama hiyo afu unaonekana mla rushwa. Kazi lawama haziishi kwakuwa hatujazoea kulipa kodi kwa hiyari. Makadirio ya kodi huwa fair kulingana na muktadha husika. Haonewi mtu wala serikali haikosi kodi yake. TUPENDE NCHI YETU. SAMAHANI KWA KUTUMIA LUGHA KALI NA YENYE KUUDHI. MNIWIE RADHI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Am sorry; but you have written here like an idiot. Mtu ana tax clearance kwa miaka yote hiyo utasemaje kuwa hakuwa analipa kodi? Acheni upumbavu wenu; nchi imeshawashinda.
Simple; nimemshauri mteja afunge kampuni. Mtamfanya nini sasa? Hata provisional tax yake (na huwa analipa minimum ya 15m) hatalipa akifunga biashara.
Mkulima aliishitaki serikali deni la mwaka gani?
Acha kulinganisha kuku na mbuzi. Mkulima alikuwa anadai, kwani angelipwa (hata kama ni pesa pungufu na akatoa certificate of debt liquidation) angewezaje kudai tena?
Hapa tunaongelea mtu ambae amekuwa analipa kodi na anapewa tax clearance (huku akiwa amefanyiwa tax audits kwa miaka yote ya nyuma); inakuwaje leo udai alikuwa anakwepa kulipa kodi?
Mnalo hilo. Na ukweli ni kuwa hata ambao walikuwa kweli wanakwepa kulipa kodi (na kwa kuwa walipewa mwanya kisheria) hata mkiwadai leo hii HAWANA CHA KUWALIPA.
What are you going to do, kill them?
This government is pathetic.
Huwez kullipa Kodi voluntarily, never, serikali lazma iongeze ukali kwenye hilo. Hata messi wa Barcelona anakweoa seuze mtnzNonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lakini kuna kundi la watu huona kama hakuna kifanyikacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao walikwepa kodi wakati huo ndo wanaotufanya tunateseka sasa. Walilkula bata wapendavyo. Sasa warudishe vyetu walivuotudhulumu.
Anaekumbuka story ya mobite kisha Buzz kisha Tigo walvyokwepa kodi kwa kudai kampuni inapata hasara hivyo inauzwa kumbe ni ukwepaji kodi tu. Watanzania tumepigwa sana, turudishe walivyotuibia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee! Hadi leo unaamini Bunge huwa linatunga sheria? Utakuwa umefundishwa vibaya shuleni/chuoni. Kazi ya drafting ya sheria pamoja na consultations ya wadau hufanywa na user department wakiongozwa na ofisi ya AG. Kwa kifupi sheria hutungwa na AG na Bunge kazi yake ni either kuendorse (kupitisha) au kukataa kama kuna mapungufu flaniflani kwa kuishauri ofisi ya AG ifanye marekebisho ABC.Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lakini kuna kundi la watu huona kama hakuna kifanyikacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siyo mtu wa mshahara, tafadhari acha kubwbwaja. Mishahara watu watalipwa na nchi haijafilisika. Uliyefilisika akili na fedha ni wewe siyo mimi.Umekaririshwa hiyo sentensi. Hata maana yake hujui isipokuwa unai-retort kama kasuku.
Jiandae kukosa mshahara wako hivi karibuni.
Wewe ni wa kuhurumia. Siamini hata kama unajua leo ni siku gani. You are a waste of space.
Sishangai deni kuwa la siku nyingi, hoja ipo kwenye ukweli kuwa haiwezekani "deni" ambalo halijawahi kudaiwa lije kudaiwa miaka 14 baadae. Mdai alikuwa wapi kulidai siku zote hizo?
Teteeni mtakavyoweza, Ila ukweli ni kuwa jiwe mambo yanamuendea kombo.
Eti toka 2006? What? TRA walikuwa wapi miaka yote hiyo? Huo Ni uhuni.Miaka 14 iliyopita unadai Leo?Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lakini kuna kundi la watu huona kama hakuna kifanyikacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lakini kuna kundi la watu huona kama hakuna kifanyikacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo yanabadilika mzee, kama mashemeji zake ndio walikuwa TRA na wakamuonea soo kumdai sasa wameingia majirani, watamdai hadi senti ya mwisho.
Yeye kama ana tax clearance si apeleke hizo certificate wazikague mzee, shida iko wapi? Numbers dont lie!
Usimshauri kufunga kampuni, huo ni wendawazimu, afterall kama yuko sawasawa kwenye mahesabu yake kila kitu kitajiweka sawa. Ukiona mtu anaruka ruka na kuleta visingizio kibao ujue hapo kuna kanjanja.
Nakushauri kama wewe ni mtu wake wa karibu mwambie basi akupe hata hizo documnts zake uziangalie, i bet utakuta kasoro, trust me and work on that bro/miss!
I doubt kuwa unajua public entities zinafanyaje kazi nchi hii. Unajua kisheria limit ya kudai (assuming kweli kuna deni la kudaiwa) ni miaka mingapi? Unajua limit ya kuweka rekodi?
Eti toka 2006? What? TRA walikuwa wapi miaka yote hiyo? Huo Ni uhuni.Miaka 14 iliyopita unadai Leo?
Mke wangu juzi alipigiwa simu toka TRA akaambiwa anadaiwa akamuuliza deni la mwezi gani, akaambiwa unadaiwa tu akakata simu, baadae akapigiwa akaambiwa sikuangalia vizuri haudaiwi, akakata simu.Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lakini kuna kundi la watu huona kama hakuna kifanyikacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kwako kulipa kodi ni kosa.....?!Serikali kupitia TRA wanawapa wafanyabiashara tax demand notes za miaka ya nyuma mno. Nimeona kwa macho yangu mtu "anadaiwa" kodi (na kuongezewa riba na adhabu juu) kuanzia alipofungua kampuni 2006.
Nchi hii inaelekea kubaya zaidi ya Zimbabwe ya Mugabe.
Nawaambia watu kila siku tazameni aina ya wabunge mnaopeleka pale mjengoni, wale ndio wanaopitisha sheria zinazokuja kutumaliza sisi....Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lakini kuna kundi la watu huona kama hakuna kifanyikacho.
Sent using Jamii Forums mobile app