Kwa hili napinga ni uonevu na kuwapendelea wengine. Inabidi notes demand ziende tangu sheria ya kulipa kodi ilipoanza ndani ya Jamhuri ya Muungano. Mi napendekeza TRA watoe notes demands za kuanzia mwaka 1961 tulipopata Uhuru. Mbona Bodi ya Mikopo wanadai tangu 1992 Sheria ya Mikopo ilipoanzishwa? TRA waache uvivu. Wafukue mafaili!