mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Nianze kwa kuwaomba radhi wachambuzi wachache sana wa ukweli wa soka hapa bongo, hususan Ally Mayai Tembele. Hili bandiko haliwahusu wao.
Hili bandiko linawahusu makanjanja lukuki yanayojiita wachambuzi wa soka wakati hawajawahi hata kucheza soka!!
Hili kundi kubwa la wachambuzi wa soka makanjanja wanadhani kuwa sifa kuu ya kuchambua soka ni kuwa na MDOMO na kujua kuutumia basi!! Kwenye kundi hili wamo akina Geoff Leah na wenzake. Karibuni tuwaumbue hapa wachambuzi makanjanja wa soka ambao hawajawahi hata kucheza soka la maana!! Wanaharibu Sana mpira Hawa!