mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Asante Sana! Hawa ni wachambuzi uchwara, wachambuzi maandazi nk.Ongezea neno wachambuzi UCHWARA
Nianze kwa kuwaomba radhi wachambuzi wachache sana wa ukweli wa soka hapa bongo, hususan Ally Mayai Tembele. Hili bandiko haliwahusu wao.
Hili bandiko linawahusu makanjanja lukuki yanayojiita wachambuzi wa soka wakati hawajawahi hata kucheza soka!!
Hili kundi kubwa la wachambuzi wa soka makanjanja wanadhani kuwa sifa kuu ya kuchambua soka ni kuwa na MDOMO na kujua kuutumia basi!! Kwenye kundi hili wamo akina Geoff Leah na wenzake. Karibuni tuwaumbue hapa wachambuzi makanjanja wa soka ambao hawajawahi hata kucheza soka la maana!! Wanaharibu Sana mpira Hawa!
Yule privadinho ndio mchambuzi wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania kila siku anabishana na wenzake kwenye kipindi kichwa box empty kabisa hajui takwimu wala mpira upo vipi yeye kazi yake kubishana na kina edger na amri kiemba pamoja na shafii dauda privadinho kama upo humu rudi kwenye fani yako ya uanasheria huku kwenye hakuna unachokijua.Nianze kwa kuwaomba radhi wachambuzi wachache sana wa ukweli wa soka hapa bongo, hususan Ally Mayai Tembele. Hili bandiko haliwahusu wao.
Hili bandiko linawahusu makanjanja lukuki yanayojiita wachambuzi wa soka wakati hawajawahi hata kucheza soka!!
Hili kundi kubwa la wachambuzi wa soka makanjanja wanadhani kuwa sifa kuu ya kuchambua soka ni kuwa na MDOMO na kujua kuutumia basi!! Kwenye kundi hili wamo akina Geoff Leah na wenzake. Karibuni tuwaumbue hapa wachambuzi makanjanja wa soka ambao hawajawahi hata kucheza soka la maana!! Wanaharibu Sana mpira Hawa!
Mkuu mtoe Ambangile kwenye list ya wachambuzi uchwara! Kuna hii Hance Raphael na George Job zinajikuta much know sana.
Nasikitika sana kama hiyo kenge maji Hance Raphael kusema imereview zaidi ya mara tano lile tukio eti haikuwa penalty.
Ifike kipindi mtuombe radhi wapenda soka la hii nchi.
Mkuu usione hzo chuki zote za wachambuzi wengine wanaona ile nafasi ya Ahmad ali walistahili wao kwa hyo kama wameshindwa kuipata wao waliona wanastahili sasa hivi ndio kuponda kila kitu cha simba kiwe nje au ndani ya uwanja.Huyo Leah ndo takataka kabisaaa! Mnafiki na mpuuzi Sana. Nahisi huyu jamaa huwa ana tu homoni twa kike.