Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Huyu jamaa ndio alileta mageuzi kwenye bongo flevaYeah Dully Bongo Fleva. Kitambo hadi leo yupo. Wengi sana waliachia game njiani.
Dully Sykes playlist🔥🔥Alifika pale atuimbie Hi, Handsome na Salome.
Domo wa kawaida sana. Amekuja kipindi platforms nyingi.Diamond hawezi kuhudhuria🤣🤣🤣
But recognition bado iko low kidogo… why?
Nyambizi 🙌
Dully nakuonea huruma usije ukadata, haya kazime taa uje kupata!"Nyambizi nionee huruma japo kiduchu,mwenzio nimechoka kupiga puchu"
- Dully sykes
Dully nakuonea huruma usije ukadata, haya kazime taa uje kupata!
Huwii! Nikaenda kuzima taa ili nipate n'nachotaka. Nyambizi mama la kitanga, kiuno kizima kajaza shanga.
Kupenda, baby Candy, Dhahabh ndio ngoma zake za mwisho mwisho akiwa katika peak miongoni mwa ngoma kali za Dully mpishi Pancho Latino. R.I.PAlifika pale atuimbie Hi, Handsome na Salome.
Umesema vyema
Mondi anajua, ila upuuzi mwingi. Kuna wasanii tunawakubali wao na kazi zao, na kuna wasanii tunakubali kazi zao TUDomo wa kawaida sana. Amekuja kipindi platforms nyingi.
Wamshukuru sana Dully na wengine wa nyakati zake walifungua njia ya bongo flava kama Jay alivyowafungulia njia wana Hip Hop
Vibaraka wa serikali haramu ya samia na kikwete na jambazi Rostam azizi...mnaangaika sana ..simlikubali kuwa vibaraka kwa kuimbia ccm ...sasa wananchi wamewakataa na miziki yenu (fanyeni kazi ) siyo kututingishia vijambio majukwaani wskati watanganyika wanachinjwa usiku na mchana kwa kudai haki zao .Week end hii ilikuwa poa sana moja ya siku ambayo mashabiki wa Hip Hop Tanzania tuliisubiria sana
Jongwe na wasanii wengine walikuwepo kwenye usiku wa Prof Jay kutambua mchango wake katika game ya rap nchini. Huu ni ukweli usiopingika Jay alistahili though kwa kuchelewa lakini si haba
Tukirudi katika muziki wa bongo flava anayestahili kufanyiwa event kama hii ni mjukuu wa mzee Sykes, Dully. Sijui kama wasanii wenzake wa bongo flava watakuwa tayari.
Ila tuliona kwenye usiku wa Jay, Nikki Mbishi, Songa, Joh Makini na wengine wakiimba na kufanya back vocals ya ngoma za Jay walishoo love sana. Mbishi aliimba hit songs zote za Jay.
Dully ndiye king wa bongo flava. Alileta mapinduzi makubwa kwenye kiwanda cha flava za kibongo.
Umeiweka kitaalamu sanaKuna wasanii tunawakubali wao na kazi zao, na kuna wasanii tunakubali kazi zao TU
Bado wewe Mad MaxYeah Dully Bongo Fleva. Kitambo hadi leo yupo. Wengi sana waliachia game njiani.
Alifika pale atuimbie Hi, Handsome na Salome.
Mkuu hapo kwenye dhahabu ile kolabo ya watu wa tatu, Dully, Mr. Blue na Joseline mtambo nani aliua sana? Mimi mpaka leo sijapata jibu kamili ingawa Dully alijaribu kufunika verse ya mwisho kwa kuweka ubet wa nne ili asisahaulike kwenye nyimbo yake...Dully Sykes playlist🔥🔥
Julieta
Salome
Tamika
Nyambizi
Miss Tz uk
Kupenda
Leah
Ladies Free
Historia ya kweli
Hi
Hajisadi
Dhahabu
Bijou
Watasimuliwa
Utamu
Hunifahamu