Sasa ni zamu ya Ulaya baada ya Canada, Mexioco na China

Hii zama za kuoneshana ubabe ubabe, maswala ya diplomasia wameyaweka pembeni ni mwendo wa kuoneshana Canada nae akataa unyonge kapandisha 25%.

Ila Ulaya naona akili zitaanza kuwakaa sawa na kutafuta alternative nyingine ya kutomtegemea US.
 
Wewe huna akili timamu wewe hvi unajua ulaya inalindwa na marekani hujui hata china ni heri ampoteze urusi kuliko kumpoteza marekani kwny uchumi wake
Kwanza kabisa HUNA AKILI WEWE! unaijua ulaya lakini? Au unaropoka tu? Uvumbuzi wa vitu karibia asilimia 80 vimevumbuliwa ulaya, unaijua gdp ya ulaya combined? Unajua asili ya wazungu ni wapi?
 
Narudia tena huna akili timamu ww jimbo 1 tu la marekani linauzdi uchumi wa urusi yote muulize mchina akiambiwa achague kufanya biashara na ulaya au marekani au urusi atachagua nani fala ww kama ulaya ni powerful hvyo si ajichomoe kwa marekani unadhan trump ni fala hajui anachokfanya au siyo
 
Kwanza kabisa Fala ni wewe na waliokuzaa na wote hamna akili pimbi wewe! Matusi nayajua vizuri sana usipo heshima jiandae kunyooshwa kumer wewe!
Wewe unadhani ulaya ni urusi tu? Nitajie uvumbuzi kuu hata kumi na nchi zilizovumbua nione kama kuna cha Marekani,
 
Back
Top Bottom