Sasa nimeamini asali isiyochakachuliwa ni tiba murua kwa wanaume!

Dumelambegu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
1,052
Reaction score
257
WanaJF hususan wanaume wenye majogoo yasiyopanda mitungi,

Nataka niwatie moyo kwamba wanaweza kupona kwa kutumia asali pure isiyochakachuliwa. Nina ndugu yangu mmoja ana miaka miwili tangu aoe. Alikuwa anasumbuliwa sana na jogoo wake kiasi cha kumfanya akose raha. Katika pitapita yake mwaka jana mwezi wa Disemba alionana na mzee mmoja akamshauri aanze kulamba asali kwa kipimo cha vijiko vya chakula viwili asubuhi, mchana na jioni. Alimwambia atumie asali mbichi yaani isiyochakachuliwa na inayovunwa maeneo ambayo hayalimwi tumbaku. Pia alimwambia aendelee kulamba kwa mwezi mzima mfululizo kwa maana kwamba hata akisafiri lazima ahakikishe amebeba asali.

Ndugu yangu huyo alizingatia ipasavyo masharti hayo na baada ya miezi miwili alimshangaza mkewe. Jogoo alianza kupanda mtungi kwa kasi iliyomshangaza mkewe na kumfanya ahisi amekunywa 'mkuyati'. Ajabu ni kwamba pamoja na kuacha kulamba asali jogoo mpaka sasa bado linaendeleza libeneke kisawasawa na ndoa ime-stabilize. Jamaa anasema amekuwa na kasi utadhani amebarehe jana! Wazee msio-perform mpo?
 
Midume ya JF lazima ikatafute asali. Hivi kwanini wanaume hata wakiwa na urijali wa simba wanakuwa hawajiamini?
 
Midume ya JF lazima ikatafute asali. Hivi kwanini wanaume hata wakiwa na urijali wa simba wanakuwa hawajiamini?

kwanza wewe ndo usiseme kabisa..
yule injinia wako wa meli ukamnunulie hiyo asali...
 
Midume ya JF lazima ikatafute asali. Hivi kwanini wanaume hata wakiwa na urijali wa simba wanakuwa hawajiamini?

Wanaume marijali walikuwepo zamani enzi hizo ambazo hata ukiona mguu wa mwanamke, jogoo humo ndani hapatoshi. Ni ugomvi mpaka apande mtungi ndiyo atatulia. Siku hizi 'urijali' ni mpaka jogoo lionyeshwe majogoo mengine yakiwa kazini ndipo nalo lichangamke. Life style ya kisasa itaendelea kuwapunguzia wanaume urijali tena kwa kasi ya ajabu. Ndiyo maana huyo mzee alimshauri ndugu yangu aanze kutumia asali na jambo moja nililosahau kuwaambia ni kwamba jamaa aliacha kutumia sukari ya kawaida.
 
kwanza wewe ndo usiseme kabisa..
yule injinia wako wa meli ukamnunulie hiyo asali...

leo mbona atakoma, niko full nondo, ashindwe yeye, thanx very much wana Jukwaa la Faida a.k.a J F
 

kwanza zamani ilikuwa aibu mwanaume kusema una tatizo lakiume..
kwa sababu haikuwa common kama sasa.
siku hizi kila mganga wa kienyeji anauza dawa ya kiume
kwa mabango...
 
Ha ha ha ha ha ha hii imenichekesha mpaka basi kha?? Asali inatibu mambo mengi kumbe sikujua aisee
 
babuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!! umesikia maneno hayooooooo!!!

anza safari ya tabora ukafuate asali.
 
asali ya Tabora ina tumbaku. Haifai shostito wangu. Rudi zagga, tumekumiss
 
Wana jf ishu si jogoo kuwika au kulamba asali. Ishu ni upepo,i mean pumzi. Mnadhani footballer au basketballer kwenye game atalingana na mnywa bia wa kila siku...... Mazoezi muhimu ili kupata pumzi. Jogoo lisipoamka ujue hayo ni magonjwa mengine tu.
 
leo mbona atakoma, niko full nondo, ashindwe yeye, thanx very much wana Jukwaa la Faida a.k.a J F

zamani niliambia we mwanaume kama hata una miaka hamsini unaweza kutembea na demu wa miaka kumi na nne na ukagonga tani yako na uskafanye kitu sikuamini ,nimekua ndo nikaappreciate maumbo ya wenzetu yanawaruhusu kusex hata kama hisia hazipo kwenye tendo.tofauti na wanaume kama hisia hazipo hawezi kamwe kusex.
Halfu kitu ingine kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake with sexual undernourished woman.which suggest you cant satisfy a woman nowadays mybe very few of them but large persent dont get satsfication.
When it come to sex woman wako kikazi zaidi ndo maana waweza kuwa unagonga ghafla akakupiga pembeni na kukwambia times is up,pay more or mchezo unaishia hapo ,hapo lazma utalipa tu kama bado hujafikia orgasm.
 
sasa umenipa wazo nitafungua kikombe cha asali bar kila siku kwa miezi miwili na utakuwa ngangali

guarantee by nature
 

Mh! hapa kama sielewielewi!!:noidea:? Navyojua mie pure asali mbichi huzalishwa Tabora, na Kilimo cha Tumbaku Tabora, sasa hiyo asali pure, na mbichi isiyotoka Tabora unataka itoke wapi!:noidea::noidea::noidea:?
 
kwanza zamani ilikuwa aibu mwanaume kusema una tatizo lakiume..
kwa sababu haikuwa common kama sasa.
siku hizi kila mganga wa kienyeji anauza dawa ya kiume
kwa mabango...


siku hizi dunia imepasuka
 
ngoja nikapate kijiko hlf nitarudi badae kutoa ushuhuda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…