Sasa nimeamini asali isiyochakachuliwa ni tiba murua kwa wanaume!

<br />
<br />
Mzee inaonekana kama ulikuwa unapiga chabo vileeee.
 
Ni hivi: Tabora ni mkoa unaozalisha asali nyingi hapa TZ lakini asali pia inapatikana mikoa mingi tu kama Lindi, Morogoro, Pwani, singida etc. Asali ni tiba ya magonjwa mengi sana kwa sababu nyuki hutumia 'necta' kutoka mimea mbalimbali. Asali bora /pure ni ile ambayo baada ya kurinwa kutoka kwenye mzinga inakuwa haijachemshwa (ndiyo maana wengine wanaiita mbichi). wanaochemsha asli wakati mwingine wanaiweka maji na pia ile chemical structure yake inakuwa affected hivyo kupunguza ubora wake.
Mh! hapa kama sielewielewi!!:noidea:? Navyojua mie pure asali mbichi huzalishwa Tabora, na Kilimo cha Tumbaku Tabora, sasa hiyo asali pure, na mbichi isiyotoka Tabora unataka itoke wapi!:noidea::noidea::noidea:?
 
Kule kijijini kwetu manyuki yapo hata manyumbani, yaani asali bwelele, sio lazima tabora mkuu nafikiri mikoa mingi tu
 
mashari limangumu maana wanakolima tumbaku mmmmmmmmmmmmmm ni janga tujitahidi kufanya mazoezi na lishea asilia ni muhimu zaidi
 
mashari limangumu maana wanakolima tumbaku mmmmmmmmmmmmmm ni janga tujitahidi kufanya mazoezi na lishea asilia ni muhimu zaidi
Ina maana unajua wanakolima tumbaku wana janga?utafiti umefanya ? leta vithibitisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…