Aisee nilikuwa naingia tu mtandaoni na generate vitu bila mpangilio. Sasa nina kaproject kangu binafasi ambako hakiwezi kutumia AI generators za mtandaoni, ikabidi nirun fooocus locally. Aisee, nimefanya installation na kuset kila kitu locally ila sasa huo muda inaotumia kugenerate vitu online ingekuwa seconds huku na madakika mpaka masaa.
Any way sina powerful GPU zaidi nategemea CPU badala ya GPU lakini wana haki ya kutulipisha kama mambo yenyewe ndiyo haya.
Any way sina powerful GPU zaidi nategemea CPU badala ya GPU lakini wana haki ya kutulipisha kama mambo yenyewe ndiyo haya.