Umejuaje mkuu... Umegonga mle mle. Niko najaribu kutumia AI models kutengeneza pesa lakini navyoona inahitaji ninunue dedicated GPU za nvidia kwanza. so project on hold.Hilo jina lako def_xcode mm sio mtabe wa python, najidhania kuwa mtabe wa java ila nafikiri maana ake ni function yenye jina xcode kwenye python
Kuna Gpu za bei rahisi za AI ambazo hazina ports (Hazifai kuchezea games) zinauzwa bei rahisi used, mfano Tesla P4 ina kama 22 Tops. Ukitafuta vizuri around ama hata chini ya laki 2 unazipata.Aisee nilikuwa naingia tu mtandaoni na generate vitu bila mpangilio. Sasa nina kaproject kangu binafasi ambako hakiwezi kutumia AI generators za mtandaoni, ikabidi nirun fooocus locally. Aisee, nimefanya installation na kuset kila kitu locally ila sasa huo muda inaotumia kugenerate vitu online ingekuwa seconds huku na madaika mpaka masaa.
Any way sina powerful GPU zaidi nategemea CPU badala ya GPU lakini wana haki ya kutulipisha kama mambo yenyewe ndiyo haya.
naweza zipata wapi mkuu? Nataka ya kutumia kurun image and video generating modelsKuna Gpu za bei rahisi za AI ambazo hazina ports (Hazifai kuchezea games) zinauzwa bei rahisi used, mfano Tesla P4 ina kama 22 Tops. Ukitafuta vizuri around ama hata chini ya laki 2 unazipata.
Angalia kwanza module yako inataka power kiasi gani, maana H100 ina tops zaidi ya 3000 hii p4 ni tops kama 20.naweza zipata wapi mkuu? Nataka ya kutumia kurun image and video generating models
Ngoja niicheki huko mkuu... h100 hiyo za mamilioni ya ela. Hii ya tops 20 inatosha kabisa ngoja nichek huko asante mkuu.Angalia kwanza module yako inataka power kiasi gani, maana H100 ina tops zaidi ya 3000 hii p4 ni tops kama 20.
Kwa China cheki Pinduo, US cheki ebay, China naziona kama yuan 500 ambayo ni chini ya laki 2, mpaka usafiri huku haifiki 250K.