GE2025 Sasa Polepole tumeanza kuelewana, Spana ya jana dhidi ya "wanamtandao" imegonga kwenyewe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Polepole akomae nao hasa Yule mstaafu,
Yule ni mhuni zaidi ya Wadudu wa Arusha
 
🙋✍️👍🤝🙏🛡️
 
Huyo mjinga hana muda na mabadiliko ya kweli
Yeye amekomaa na katiba ya ccm kwahiyo sahau yuko mitandaoni kwa maslahi mapana ya wananchi
Ndo maana kaswende inakumaliza. Jinga kabisa wewe.
 
Polepole ameanza kumwaga petrol kwenye mashimo naona nyoka wameanza kutoka kunako, Leo Rostam amejibu baadhi ya Hoja zake lakini kinyonge sana na ameishia kuongea vitu insignificant vya kumsifu Samia
 
Bila kusema walimtuma nani kumpiga risasi Lissu na akina nani wako nyuma ya kesi ya Lissu bora anyamaze,,,,, akiongea hayo na vilevile ni jinsi gani ccm huiba kura za watu basi atakuwa shujaa kwlkwl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…