Zahera Hana account za mitandao ya kijamii hao Ni wajanja wajanja wa mjini wanatafuta followersAdi papaaaa zahera kashukuru nyie ni nani mpinge kuwa simba inastahili pongeziView attachment 1118285
Bado Yanga angeenda, sababu tunakuwa na point 15, bado tutakuwa nafasi ya 12Na vipi simba angeingia robo fainali halafu yanga wasiwe na hizo pointi zao tatu?
Aaah! Maneno ya Mtaani hayo Mtani japo ndio yalisambaa mpaka basi.Afadhali umenitoa wasiwasi, maana kulikuwa na ujumbe unasambaa kutupa tahadhari kwamba Yanga wanasajili kila wanayemwona, hivyo tuwe makini.
Yani wewe hujui kitu kabisa, alafu jina lako ni lakike kama wewe ni mwanamke sitashangaa ila kama dume badilika.Hiyo nafasi yanga wameipata kwa jasho lao wala siyo simba kama msemavyo. Kigezo kimuu kilichotumika ni kuangalia mafanikio ya timu za tz kwa miaka mitano ilopita + robo ya Simba,sasa kwa miaka mitatu hadi minne nyuma simba wamefanya nini kimataifa kama siyo yanga kuingia Mara kadhaa kwenye makundi kombe la shirikisho? Yanga wasingeingia kwenye makundi kwa miaka ilopita isingepata hii nafasi!
Noo! Kenya ndiye angepeleka Timu nneBado Yanga angeenda, sababu tunakuwa na point 15, bado tutakuwa nafasi ya 12
We kipapa hata hujui unachoongea. Kwa ulichoandika hapo juu unazipa hadhi point za Yanga. Tunapaswa tujipongeze na kushukuru hali timu za Kenya hasa Gormahia walipozingua pia. Kusema hivi simaanishi kwamba Simba hana mchango wake, anao ila na Yanga wana jasho lao hapoYani wewe hujui kitu kabisa, alafu jina lako ni lakike kama wewe ni mwanamke sitashangaa ila kama dume badilika.
Simba kachangia point 15 yanga ikiwa imechangia point 3 tu.
Ondoeni point zenu tatu tuone mtaenda wapi
Ushoga ulianza kitambo.Kigezo gani kimetumika kumpa KMC hiyo nafasi Wakati hajacheza fainali yoyote?
Wewe frog wa jangwani Arabi Nanjewa bila Simba mngepata hii nafasi?
Respect Simba kuanzia leo Sithole
Viti maalumu fc
Nyie mafala kushukuru kwa lipi?Sijaona popote Yanga fc waki ishukuru timu ya Simba kwa kuongeza pointi nyingi iliyoiwezesha kwa Mara ya kwanza katika historia ya mpira Tanzania kushiriki katika michuano ya Mabingwa, msimu mwaka 2019-2020.
Nawapongeza timu ya KMC kwa kuishukuru timu ya Simba sc.
Wahenga walisema,
" Kumtambua mchawi ni rahisi sana "
Uqumamae ulianza zamani za kaleUshoga ulianza kitambo.
Kashika nafasi ya NNE ndicho kigezo kilichutumika husomi maelezo?Kigezo gani kimetumika kumpa KMC hiyo nafasi Wakati hajacheza fainali yoyote?
Wewe frog wa jangwani Arabi Nanjewa bila Simba mngepata hii nafasi?
Respect Simba kuanzia leo Sithole
Viti maalumu fc
Inaonekana hujielewi kabisa ndezi wewe, Simba ilikuwa ikishiriki CAF champions league na Viti maalumu fc ilikuwa ikishiriki CAF confederation league ambayo iliishia hatu ya makundi mara mbili kama rekodi zangu ziko sawa.Nyie mafala kushukuru kwa lipi?
Tatizo umekurupuka usingizini post ilikuja zamaaani toka jana.Kashika nafasi ya NNE ndicho kigezo kilichutumika husomi maelezo?
Ahsante kwa kuniita hilo jina Kiamba mkumba wewe.We kipapa hata hujui unachoongea. Kwa ulichoandika hapo juu unazipa hadhi point za Yanga. Tunapaswa tujipongeze na kushukuru hali timu za Kenya hasa Gormahia walipozingua pia. Kusema hivi simaanishi kwamba Simba hana mchango wake, anao ila na Yanga wana jasho lao hapo
TusameheaneAhsante kwa kuniita hilo jina Kiamba mkumba wewe.
Narudi kwenye mada, huwezi kuishukuru Gor ukaiacha Simba na Simba haiwezi kuishukuru timu yoyote zaidi ya yenyewe kwa performance bora kabisa iliyokuwa nayo.
Appreciate mchango wa Simba hata kimoyomoyo, Points za CAF champions league ni kubwa kuliko za shirikisho.
Simba ingeishia group stages hii nafasi msingeipata KAMWE na Simba ina malengo ya kuchukua Kombe la Africa na NINAAMINI TUTALIBEBA.
Nilisema mapema tu kuwa Zahera ni mtu wa sport anajua nani kambeba mwenzie... Achana na haya mabolizozo.Adi papaaaa zahera kashukuru nyie ni nani mpinge kuwa simba inastahili pongeziView attachment 1118285
Inshu sio miaka mitano tuko nje.. ila ni nyie katika miaka 5 mnapoint 3 halafu mnapanua pua humu eti wakimataifa.Kinachowauma Mikia FC ni wao kukaa miaka mitano bila ya kucheza mashindano ya CAF. . Alafu Yanga wamekaa nje msimu mmoja tu.. INAWAUMA SANA..
Yanga kaingia mara kadhaa makundi.. hiyo kadhaa ni ngapi ndio mpate point 3 miaka mitano.Hiyo nafasi yanga wameipata kwa jasho lao wala siyo simba kama msemavyo. Kigezo kimuu kilichotumika ni kuangalia mafanikio ya timu za tz kwa miaka mitano ilopita + robo ya Simba,sasa kwa miaka mitatu hadi minne nyuma simba wamefanya nini kimataifa kama siyo yanga kuingia Mara kadhaa kwenye makundi kombe la shirikisho? Yanga wasingeingia kwenye makundi kwa miaka ilopita isingepata hii nafasi!