Venus Star JF-Expert Member Joined Dec 6, 2018 Posts 26,519 Reaction score 78,311 Apr 5, 2022 #21 Tate Mkuu said: Yanga tangu msimu unaanza tayari ilisha jihakikishia ubingwa. Hivyo wanufaika bado mtabakia nyinyi wenyewe, wadogo zenu Azam, na katimu kengine ka kimaskini katakako shika hiyo nafasi ya 4. Click to expand... Mzee tayari tumeshawabeba mbona hamtaki!?
Tate Mkuu said: Yanga tangu msimu unaanza tayari ilisha jihakikishia ubingwa. Hivyo wanufaika bado mtabakia nyinyi wenyewe, wadogo zenu Azam, na katimu kengine ka kimaskini katakako shika hiyo nafasi ya 4. Click to expand... Mzee tayari tumeshawabeba mbona hamtaki!?
Theb JF-Expert Member Joined Jan 25, 2019 Posts 3,927 Reaction score 7,276 Apr 5, 2022 #22 Vipi utopwinyo walichangia point ngapi hapo wakuu..?
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Apr 5, 2022 #23 Eng. Zezudu said: Kwahiyo unataka kusema utopolo wanabebwa lakini awabebeki kwa namna yoyote ile Click to expand... Wanachana mbeleko
Eng. Zezudu said: Kwahiyo unataka kusema utopolo wanabebwa lakini awabebeki kwa namna yoyote ile Click to expand... Wanachana mbeleko
Vito Ferari JF-Expert Member Joined Mar 31, 2022 Posts 290 Reaction score 416 Apr 5, 2022 #24 ummumuhammad said: ataenda ligi ya mabingwa na ataanzia roundi ya kwanza na si round ya awali Click to expand... Sidhani, Simba ametolewa Klabu bingwa ndugu, angeingia robo fainali ya klabu bingwa hapo ingekuwa sawa.
ummumuhammad said: ataenda ligi ya mabingwa na ataanzia roundi ya kwanza na si round ya awali Click to expand... Sidhani, Simba ametolewa Klabu bingwa ndugu, angeingia robo fainali ya klabu bingwa hapo ingekuwa sawa.
M mjogoro JF-Expert Member Joined Feb 18, 2011 Posts 882 Reaction score 652 Apr 5, 2022 #25 Utani gani huu sasa. Wewe hata siasa unachambua. Kumbe kiwango chako cha maturity ni bado sana OKW BOBAN SUNZU said: Wake zetu tunaenda nao Click to expand...
Utani gani huu sasa. Wewe hata siasa unachambua. Kumbe kiwango chako cha maturity ni bado sana OKW BOBAN SUNZU said: Wake zetu tunaenda nao Click to expand...