Kwa hiyo Trump anatumia Twitter (X)?Naona washibana sasa, mpaka Musk kumwambia Trumpo bila yeye, asingeshinda
Na pia Musk amejasirika baada ya Trump kuweka kodi kubwa kwa matajiri
Tulisema hawa hawafiki mbali
Yamefika sasa
Tutaendelea kuleta updates
View: https://www.youtube.com/watch?v=8oh_WNAYchU
Who cares?