SASA RUKSA Kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais

SASA RUKSA Kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
2,795
Reaction score
9
[TABLE="class: t1"]
[TR]
[TD="class: td1"]KATIKA IBARA YA 90.-(1) Kwa kuzingatia masharti ya ibara ndogo ya (2), endapo mtu yeyote aliyeshiriki kama mgombea katika nafasi ya madaraka ya Rais katika uchaguzi wa Rais hakuridhika na matokeo ya uchaguzi huo, anaweza kuwasilisha malalamiko katika Mahakama ya Juu kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais yaliyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi.

Hii ni kwamara ya kwanza Tanzania.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Nadhani Issue si Kupinga Matokeo Mahakamani; Jombo la Muhimu na la maana zaidi ni Kuwa na Tume huru ya Uchaguzi ambayo itakuwa mwaarubani ya Kutokwenda mahakamani.

Kwa maana hata mahakani Unapokuwa umeporwa haki unaweza pia kuwakuta walewale walioshiriki kukupora haki, na hili kwa Tanzania hii si geni. Tumeona Wajanja Wachache "ESROW GUYS"Wanavyojificha kwenye Vifungu vya Kisharia Kuhusu zuio la Kesi mahakama. Hivyo Mahakama Si Kimbilio la Waporwa haki.

Tume huru ya Uchaguzi, Isiyokuwa na Wateule wa Chama Chochote Cha Siasa Inaweza Kutuvusha salama October, 2015; Bila tume huru ya Uchaguzi Wapinzani Kushika Dola ni Doto za Mchana na pia Inaweza kutuletea Mshikemshike maana maanadalizii ya kambi zote Ktk Kulinda kura na Kusimamia uesabuji na utangazaji wa matokeo Zimejiandaa Vya kutosha.

Tunawaona Green guards na Pia Blue guards wako Kikazi zaidi this time around.Lakini Pia ile Kauri ya Wapigwa Tu inaendelea Kushika kasi kadri tunavyokaribia Kufanya maamuzi ya mambo muhimu ya Taifa hili.
 
Unapinga matokeo mahakamani kwenye Mahakama isiyo huru, yenye Majaji wanaochaguliwa na Mwenyekiti wa CCM, kama apendavyo yeye!!??? Katiba ya Joka lenye makengeza, tupa kuleeeeeeeee!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom