Unashindwa nini kusema ni Simba??Top 5 mmoja anababea ubingwa msimu huu.
Yanga wataenda kulalamika FIFA kuwa CAF inawapendelea Simba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unashindwa nini kusema ni Simba??
Kutoka kwenye nini?Dah Horoya hakustahili kutoka
Naogopa ntazidi kuwapa stress wapinzani wetu wa jadi kwasasa W Casablanca na Mamelody.Unashindwa nini kusema ni Simba??