Sasa taratibu naanza kuwaona Watanzania wakiwa na Akili

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wameanza kumgomea Mwarabu, wanautilia Shaka Muunganiko Wetu na akina Feitoto, Wameshaanza Kumchoka aliyekuwa akiupiga mwingi na hawako mbali Kukichukia Chama Cha Mambuzi na Kukikaribisha kingine kipya.

Hongereni.
 
Suala ni hili .

Bandari imeshindwa kujiongoza kwa faida ni bora waibinafsishe kwa muda ili watoto wa masikini nao wapate ajira na faida ipande upande wa kodi kwa serikali.

Wa-Tanzania hii ni barua ya maombi ya uwekezaji na siyo mkataba ndiyo maana hauna maelezo ya muda (period) au ukomo wa uwekezaji.

Tutulie tupate mkataba tuusome
 
Na wmeikataa Simba na ntibhazonkiza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Suala ni hili .

Bandari imeshindwa kujiongoza kwa faida ni bora waibinafsishe kwa muda ili watoto wa masikini nao wapate ajira na faida ipande upande wa kodi kwa serikali.

Wa-Tanzania hii ni barua ya maombi ya uwekezaji na siyo mkataba ndiyo maana hauna maelezo ya muda (period) au ukomo wa uwekezaji.

Tutulie tupate mkataba tuusome
Na mkataba ukitoka sasa ukawa umeandikwa miaka 25 Kama nchi nyengine utashangaa mtaa wapili wanasema “wamebadilisha baada ya kuwapa pressure “ na watanzania wataamini kua wao pamoja na wapinzani ndo wamesababisha mkataba ukabadilishwa kutoka miaka 100 mpka miaka 25. Siasa bhna 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom